wanawake jamani mbona hamnielewi?

wanawake jamani mbona hamnielewi?

I mean hamjaoa bwana lol
Anhaa huyo hajafika hiyo miaka unayosema anataka wa kugegeda tu si anajua huku wako wengi kuliko mtaani anakoishi au anafikiri wa huku ni watamu kuliko wakina asha na mwajuma anaoishi nao mtaani kwake
 
wanawake hawako rahisi kiivo maana hata kujielezea huwezi poleee
 
Walah hata niwe na shida na mume kias gan ckutafut unacommand et mbona hamnielew
 
Wengine mnalalamika kwamba umepewa mimba then muhusika kakukataa hapo hapo fuesa zingine zimetokea hamzitaki sasa mnataka nini mpewe?
 
Anatafuta kuongeza IQ kinguvu huyu alafu nadhani ndio kameanza kubalee na ni pre~form one huyu kabisaa....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom