afredy anthony
Member
- Dec 1, 2014
- 10
- 0
naitaji mke jamani 0716284572
Hahahaha kwani lazima sasa?
Ndo kutafuta gani huko? si awafutuate huko njiani yeye anaacha namba ya simu anafikiri wanawake wana shida ya kuolewa kiasi hicho? hata changudoa mwenyewe hampigiiusimcheke mwenzio........wanasemaga wadada tuna kazi kutafuta waume.....kumbe hata wanaume nao wana kazi ya kutafuta mke mwema......
Ndo kutafuta gani huko? si awafutuate huko njiani yeye anaacha namba ya simu anafikiri wanawake wana shida ya kuolewa kiasi hicho? hata changudoa mwenyewe hampigii
Kirahisi tu hivo unfuta mke utadhan unatafuta kuku wako kapotea....
Hajaomba hzo mbinumpe mbinu basi inawezekana hana mbinu ambazo mwanamke hawezi mchomolea.....
Hahahahaha jamani mueleweniKirahisi tu hivo unfuta mke utadhan unatafuta kuku wako kapotea....
Hajaomba hzo mbinu
Ngoja nikupe namba zangu unipigie si utakubali uwe mke wangu?mpe tu hata kama hajaomba msaidie kijana mwenzako
Ngoja nikupe namba zangu unipigie si utakubali uwe mke wangu?
Hahahahaha sasa huoni utakuwa ni mzigo au anakulipa pesa?Tufanye deal.nikikutafutia wawili m1 wa kwangu...
Ndio hata mimi natafuta ila naona style ya kuacha namba ya simu inalipa, unatuma neno mchumba/mke kwenda 0717......... utapigiwa mara mojahahahaa kwani wewe ndo unatafuta
Hahahahaha sasa huoni utakuwa ni mzigo au anakulipa pesa?
Halafu anadai eti mbona hammuelewi!
anatukanyagia waya tu hapaHahahahaha jamani mueleweni