Muuza simu used
JF-Expert Member
- Aug 23, 2017
- 4,393
- 7,101
Shida ni unampomstiri mtu halafu mwisho wa siku anakuona TonjiKwani shida iko wapi?
Kwani ni lazima umsitiri? Si umuache aendelee kuhangaika na dunia?Shida ni unampomstiri mtu halafu mwisho wa siku anakuona Tonji
Pole mkuu
Kwani ni lazima umsitiri? Si umuache aendelee kuhangaika na dunia?
Kwani shida iko wapi?
Ilo lipo bara
Haya Mambo yananifanyaga nisitamani kuoa asee yanini kujitesa roho
Nani tena aachike?Ukiachwa achika