KIWAVI
JF-Expert Member
- Jan 12, 2010
- 1,817
- 699
Wanawake wengi huwa na tabia ya kulalamika wamechoka katikati ya mechi au kwenye harakati za goli la pili, ili hali mwanaume amejipanga kucheza mechi kuu. Utamsikia "Humalizi tu, mimi nimechoka".
Hali hii huwakata stimu sana madume na kupoteza kabisa hamu ya kufanya mapenzi, kwa wakati huo na hata baadae, na kusababisha kukukinai hata akikuona tu.
Na hii ni mojawapo ya sababu za kutafuta mbadala a.k.a michepuko. Najua wanawake hamuwezi kuwa fit kwa mechi daily, lakini chungeni sana kauli zenu wakati wa mechi, zitawagharimu.
Nawakilisha kwa mjadala mpana, nikosoeni ikibidi
Ukiona ujue hujuimapenzi