KUDOLE CHA MWISHO
JF-Expert Member
- Aug 13, 2017
- 407
- 896
Habari wakuu!!
Wanawake wote mkifanya hv! Sisi wanaume hatutachepuka hata siku moja!!
Mwanamke!! Ukitaka mwanaume wako asichepuke! Basi fanya hayaa
1. Usijisahau! Sio baada ya kuolewaaa unajiweka ovyo ovyooo kuwa msafi kama mwanzo kabla hamjaowana
2. Ukiwa Mp hakikisha Mumeo asione damu!
3. Kuwa na aibu kwa Mume wako! Acha kuwa kama kibaka
4. Hakikisha unakuwa msafi sanaa (wa kila sector
5. Usivae ovyoo , kuwa smart hata kama mkiwa ndan!
6. Embu mfanye Mume wako kama mgeni ( weka mazingira safi)
7. Fanya kama mchepukooo
8.
9.
Wanawake mkifanya hv mtanikumbukaaa
Sio mwanamke unajisahau
Afu mnatulaumu eti sisi haturiziki!! Hakuna mtu anayerizika na vitu vya ovyo ovyoooo