Macbook pro
JF-Expert Member
- Jul 15, 2020
- 752
- 1,105
Habari zenu wadau.!
Niende kwenye maada moja kwa Moja. Kuna simulizi kaza wa kaza zimekua zikiletwa hapa Jamvini wanaume wakilalamikia wake zao kutokufurahishwa na uwepo wa Ndugu wa Mwanaume pale nyumbani.
Mwanzo atakua kama amefurahi baadae visa na mikasa inaanzishwa na Visirani visivyokuwa na kichwa wala miguu. Siku moja nilikaa na mdada mmoja pale kazini. Aliomgea mengi lakini dhana yake kubwa ilijikita kwenye Uhuru wa Kuishi na Mumewe Nyumbani kwamba uwepo wa ndugu unamfanya ashindwe kufurahia penzi la mumewe
Kwani wakiwepo ndugu hawezi kudeka na hata ile kutenbea na kanga moja kumtega mumewe. Na hii dhana inasambaa sana hasa kwa mabinti wa kileo, Hawapendi kuona ndugu wa mume kuishi nao pale Nyumbani..mwanaume ukilazimisha anakubali kishingo upande na baadae kuanza kuleta maneno na visa chonganishi ili mradi tu hawa ndugu waondoke.
Ni Uhuru tu kweli au ni kauchoyo kamejificha ??