Wanawake hawaniamini

[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hili nalo naomba linipite tu.
 
Utakuwa mfanyabiashara ambae huna pesa....
 
Kwa wale walotoa ushauri Ahsanten Sana kwa kuona userious wa thread...!!kwa mlobeza kwa njia moja au nyingne Ahsanteni Pia!!..

Never Disturb Your Enemy When he is making a mistake
 
Yaan kumaliza form six juz umeamua kutuwekea pic ya kwnza jf!na ss kaka zako ambao hatujui vyuma vitaachia lin unataka tupost nn,
 
Yaan kumaliza form six juz umeamua kutuwekea pic ya kwnza jf!na ss kaka zako ambao hatujui vyuma vitaachia lin unataka tupost nn,
Kwanza huyu Anatakiwa aende kambini kwa mujibu wa sheria, anyolewe icho kiduku
 
Tehteh hiii ndio asara ya dume kushabikia kina zarri ona sasa mwanaume wa dar anaweka miguu kama zarina.
 
Upo kama mwanamke flan ivi mkuu
 
Kwa hiyo hao kwenye picha ndo wanawake unaowatongoza?
 
Kuna watu mna roho ngumu,yaan umeamua kujilipua na picha umeweka kabsa
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…