Wanawake hawaniamini

BradFord93

JF-Expert Member
Joined
Oct 11, 2017
Posts
921
Reaction score
2,244
Katika harakati za kutokea baadh ya wanawake kuna changamoto kubwa ambayo hua nakutana nayo hasa nnapotongoza mwanamke yoyte nlobahatika kuongea nao

Mimi n mfanyabiashara na katika biashara yangu interaction kubwa nnayopata n ya wanawake kuliko wanaume....na nmejitahid saaana kuweka mahusiano hayo kibiashara tu...na si vingnevyo maana najua kitakchotokea

Changamoto niliyonayo n kuwa kila nnapotongoza mwanamke wengi hawaamini kama sina mpenz.....na hii sio kwa wanaonijua bali hata kwa wasionijua kimazingira

Kila nimwambiaye sina mtu haamini...!!nini tatzo??
1.Naonekana kitombi saana??
2.interaction yangu na girls kwenye biashara yngu ndo hua inaniponza??

Naamni hapa nitapata kufunguliwa ufaham kidogo...!

Karibuni
 
ni jukumu lako kama mwanaume kumuaminisha huyo mwanamke unaemtaka kwamba kweli upo singo, kama unashindwa hata hilo basi bado unahitaji kukua zaidi.

mwanaume kamili hata kama una mke na watoto nyumbani unapaswa kuweza kumuaminisha mwanamke kwamba upo 'singo redi tu mingo'...

jiamini.
 
Vaa kiutu uzima mara moja moja ili wakuone ni mtu mwenye mtazamo wa kutafuta mke;zaidi ya hivyo watakuona wewe ni kicheche tu.
 
Hasiyekuamini na wewe husimuamini. Shida iko wapi ?
 
Labda hujawa serious.
Utakuwa unaongea huku unacheka.
 
Ngoja nikae kimya tu maana kuna kitu nlitaka kuandika,kingekufanya uichukie jf.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…