WANAWAKE HAWANA UJASIRI WA KUTUTONGOZA WANAUME.

Wakuu Suvai,,
Shimboni sheamka,,
shimboni shafo,,
Aika kwa mlioitikia,,
Let us back to the
business,,,
Kama title inavojieleza
apo juu wanawake hawanaga
ujasiri wa kuwaelezea hisia
zao wanaume,ni wachache
sana wenye huo ujasiri,
unaeza kuta katika ma manzi
8 ni wawili tu ndo wanaweza, Mwaka jana
nilikua marangu
kilimanjaro kwa
Sister,so kuna
mamiloo alitokea
kunielewa ila uthubutu
wa kunitamkia hakua
nao,kinywa chake
kilikua kizito sana.
Huyu dem alikua
anamtuma mdogo
ake aniite anashida
namimi,but ukifika
hakuna la maana
analeta njaro za ajabu
tu ambazo sio za
duniani hadi time
inakata.

Lengo lake
lilikua ni mimi
kujiongeza
ili tuyajenge
mapendo
catholic,,
Marangu kuna
milima so nilikua
napita kwao
napanda kule
milimani kula
vitu vyangu,
Kila nikipita
pale nimevaa
kacha mkononi
au saa utamskia
et naomba niangalie
iyo saa yako au kacha
alaf anaingia nayo
ndani,Anasema
uifate kule ndichi
au niende nnakoenda
nikirudi ntaikuta,
Obvious nilikua
sina nia nae ndomaana
nilikua na balance shobo,

Hadi narudi
Arusha hakuwahi
kunifungukia
ila alimwambia
rafiki ake flani
aliekua anasoma
Renea girls
uku Chuga,
kuwa ananielewa
ila kuniambia
ndo ulikua mtihani,
Maskini dada yule
alibaki na hamu zake.

,,,,Wanawake Kama
mkituelewa Tutongozeni
tu,Sisi ni rahisi sana
kukubali,,,,,
@ChaliiYaKijengeJuu
Mbona mimi Khantwe na espy wananisumbua kwa Id yangu inayojisifia ina pesa?
 
tehe tehe,mtoa mada nimekupenda ningependaa tuwe pamoja maishani mbona easy..lol :p
 
Back
Top Bottom