Wanawake hawakua kwenye plan ya Mungu...

hii ungeiweka katika mtindo mzuri halafu ukaitupia kule jamii intelligence au hata habari na hoja mchanganyiko! maana huko ndo kuna nondo kama hizi za kufikirisha sana na kufuru kufuru zikiwezo.

Hili jukwaa la malavidavi na friendship huu uzi umekosea njia,ni kama bongo bahati mbaya tu.
 
Nimefurahi kweli. Huyo mungu wako ni wa kipekee sana yaani mlikuwa naye mkapanga muongezee mwanamke duniani?? Ni nani alimshauri mwenzake hapo. ni wewe au?? Kufuru zingine kweli naona zinazidi kiwango cha lami. Lakini, wanasemaga, Mungu si Athuman!!! Ingekuwa hivyo, naona angelikufanya uwe mwanamke leo ujue kama walikuwa kwenye mpango au ni nyongeza.
Mawazo potofu kama haya ndio yanapelekea wengine kusema, huna haja ya kuoa au kuolewa bali hata same sex ni sawa tu kwani sex is just a pleasure.
Povu,, ni kweli aliyosema,, Mungu alikuwa kashafunga kazi, ndio maana akaamua ajichomolee viubavu kadhaa kwa adam,, aunge unge apate mwanamke
 
Povu,, ni kweli aliyosema,, Mungu alikuwa kashafunga kazi, ndio maana akaamua ajichomolee viubavu kadhaa kwa adam,, aunge unge apate mwanamke

Jamani msijibu kama mtakavyo. Jibuni kwa uelewa wa biblia. Unaweza niambia ilipoandikwa kwamba Mungu akajichomolea vijimbavu kadhaa vya Adam, halafu akaviunga unga, akampata mwanamke?? Sipendagi kutaniana na neno la Mungu. Kwangu, Mungu ni mkuu sana namwogopa mno. Nitataniana na Pompey kwa sababu tunajua kukaa nyuma ya key board na kuchapa herufi hizi. Mungu hakai kwenye key board. Hutamka ikawa.
 
Unajua ifike mahala wanawake muwaheshm sana wanaume...unajua Mungu hakua na plan ya kuumba MTU wa kike wazo la Mungu ni kumuumba Adam tuu wa kiume sema Adam akaonesha upweke kukaa mwenyewe ndo akaumbwa mwanamke ili amliwaze na kumuondolea upweke pamoja na kupetypety..

Lakn Leo hii sisi wanaume ndo tumekua watu wa kuwapety wanawake jaman hii cyo kaz yetu wanaume....kumsaidia mwanaume ndiyo kazi iliyofanya Muumbwe

LA cvyo msngekuepo[/

haha ur a fuul bila mamako huwezi kuonekana hapa myamaza p..umbafu wewe............................
 
Unajua ifike mahala wanawake muwaheshm sana wanaume...unajua Mungu hakua na plan ya kuumba MTU wa kike wazo la Mungu ni kumuumba Adam tuu wa kiume sema Adam akaonesha upweke kukaa mwenyewe ndo akaumbwa mwanamke ili amliwaze na kumuondolea upweke pamoja na kupetypety..

Lakn Leo hii sisi wanaume ndo tumekua watu wa kuwapety wanawake jaman hii cyo kaz yetu wanaume....kumsaidia mwanaume ndiyo kazi iliyofanya Muumbwe

LA cvyo msngekuepo

wanawake wakiondolewa duniani wewe utakua na raha gani ya kuishi?
 
6 Reactions
Reply
Back
Top Bottom