Mjanja M1 JF-Expert Member Joined Oct 7, 2018 Posts 4,197 Reaction score 14,900 Jul 15, 2024 #1 Wanawake siku zote hawajioni kama wao ni maskini, ila wanachojua ni kwamba wako kwenye mahusiano na mwanaume asiye na hela.
Wanawake siku zote hawajioni kama wao ni maskini, ila wanachojua ni kwamba wako kwenye mahusiano na mwanaume asiye na hela.
King Kong III Platinum Member Joined Oct 15, 2010 Posts 63,514 Reaction score 96,815 Jul 15, 2024 #2 Mjanja M1 said: Wanawake siku zote hawajioni kama wao ni maskini ila wanachojua ni kwamba wako kwenye mahusiano na mwanaume asiye na hela. Click to expand... Hahahaa umepiga kwenye mshono ,ngoja waje.
Mjanja M1 said: Wanawake siku zote hawajioni kama wao ni maskini ila wanachojua ni kwamba wako kwenye mahusiano na mwanaume asiye na hela. Click to expand... Hahahaa umepiga kwenye mshono ,ngoja waje.
Mtoto halali na hela JF-Expert Member Joined Aug 10, 2012 Posts 55,215 Reaction score 54,549 Jul 15, 2024 #3 Wanasonya
babuzer JF-Expert Member Joined Feb 19, 2021 Posts 310 Reaction score 701 Jul 16, 2024 #4 "Nimeshaona wanaume wengi sana wakiwatoa wanawake kwenye dimbwi la umaskini, na pia nimeshaona wanawake wengi sana wakiwa filisi wanaume ambao walikuwa matajiri " Alisikika mlevi mmoja akisema
"Nimeshaona wanaume wengi sana wakiwatoa wanawake kwenye dimbwi la umaskini, na pia nimeshaona wanawake wengi sana wakiwa filisi wanaume ambao walikuwa matajiri " Alisikika mlevi mmoja akisema