Wanawake Hawa wanabahati sana aisee!!

Wanawake Hawa wanabahati sana aisee!!

Jeans aliyovaa elf 20.. ukiongea vizuri na muuza duka ni elf 18. Maana sio chambu hiyo, inaonekana ni mjeans wa dukani.

Kubond short wigi ni elf 30_45

Blouse ya shiffon ikizidi sana elf 25.

Kipochi hiko Karume elf 7.

Earnings elf 10… kkoo elf 5.

Asiwaletee heka heka kaka zetu..
Umeongea uhalisia ajabu hajui kupika anasubiri mahari ya Sh Ml 500
 
Aijandae kukaangwa mitandaoni siku zijazo. Kwasasa anafanya utani ila hii itakuja kubackfire vibaya kwa upande wake siku za baadae.

Kuna wenzake wanapata maradhi wakija mitandaoni kuomba misaada wanaishia kuulizwa zile hela zako umeweka wapi.
 
Back
Top Bottom