BONGE BONGE JF-Expert Member Joined Oct 19, 2011 Posts 3,721 Reaction score 2,110 Dec 14, 2016 #101 Paulo Sergio De Souz said: Inawezekana, ila silaha kubwa ni kujiamini kwanza. Click to expand... Kwani kujiamini kwako kunahusiana nn wa watu kukugedea!!
Paulo Sergio De Souz said: Inawezekana, ila silaha kubwa ni kujiamini kwanza. Click to expand... Kwani kujiamini kwako kunahusiana nn wa watu kukugedea!!
Espy_ JF-Expert Member Joined Jul 19, 2013 Posts 91,896 Reaction score 183,238 Dec 14, 2016 #102 Extrovert said: Ha ha ha amna aisee, ni mtazamo tu maana mtu anakwambia jiamini bhana wakati unaona kabisa there is something fishy going on Click to expand... Kama unaona!!! Ila hata haujaona basi ushaanza kupanik kisa fulani alisema wanawake walimu hawafai kuoa!!! Seriously!!!
Extrovert said: Ha ha ha amna aisee, ni mtazamo tu maana mtu anakwambia jiamini bhana wakati unaona kabisa there is something fishy going on Click to expand... Kama unaona!!! Ila hata haujaona basi ushaanza kupanik kisa fulani alisema wanawake walimu hawafai kuoa!!! Seriously!!!
Espy_ JF-Expert Member Joined Jul 19, 2013 Posts 91,896 Reaction score 183,238 Dec 14, 2016 #103 Extrovert said: Aah wapi yani, nazungumzia from personal perspective tu. Click to expand... Basi sawa.
Extrovert said: Aah wapi yani, nazungumzia from personal perspective tu. Click to expand... Basi sawa.