GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 63,038
- 126,551
Wanasema kwamba.....
Wanaume wa Temeke
Nawasilisha.
Wanaume wa Temeke
- Wanaongoza kujua kufanya mapenzi japo hawana Pesa
- Wanaongoza kwa kuwa Wavivu Kitandani pindi wanapokuwa wanafanya Mapenzi
- Wanaongoza kwa Ushamba na hawajui kabisa kufanya Mapenzi ila ni Wahongaji wazuri
- Wao hawajui kufanya Mapenzi wala Kuhonga ila wakiwa Vyumbani tu na Wenza wao muda wote wanaulizia tu kama Foleni ya Kimara imeshaanza au Mabasi hayajajaa ili wayawahi.
- Wao kufanya Kwao Mapenzi ni kwenda tu kushinda na Wenza wao / Mademu zao Baharini na kupiga nao tu stori za uwongo na kweli.
Nawasilisha.