Wanawake hapa huwa mnamaanisha nini?

Kwasasa wamelala na wengine wanapata morning glory am sure wakiamka au wakimaliza watakuja hapa wkujibu

Sent using Jamii Forums mobile app
Tushaamka. Embu nijibu thatha. Hiyo hali inatokea kwa wanawake wachache sana. Na ikitokea elewa huyo wa kwanza alikuwa hampendi nwanaume huyo.yaan hamvutii.

Sasa inapotokea huyo mwanaume akawa na rafiki wa mdada wa kwanza alomkataa mwanaume huyo elewa huyo mwanamke kwa wakati huo hana mtu.anaona wivu ambao hajui unatoka wapi.

Mwanamke akikupenda tangu day one hawezi kukubali kukupoteza.atajaribu kila mbinu awe na wewe.
Mleta mada asijione wa maana saana kisa kwa sasa ana rafiki wa yule dada alompotezea.basi akajiona yupo juu.

Hapana ni kwasababu kwa sasa yule dada hana mtu, siku akiwa nae hata salamu hatompa.

Ni kijiwivu cha kike kinapita na upepo mbaya.ila hakuna lolote analojutia.

Hayo ya kusema eti wa sasa aliyenae ni pisi kali kuliko ya mwanzoni ni kujiliwaza aonekane mshindi.pisi kali hazikosagi kasoro, akikosa kasoro zoote basi atanuka hata mdomo.

Tusubiri mrejesho wa mleta mada.
 
Back
Top Bottom