Wanawake hamuogopi maradhi?

usicheke ujueeeee...this is life ohooooooooooooo..hapo itategemea

Huko kutegemea mm ndio ckutaki kbs yani ww umeshakuwa wangu halafu tunakulana miezi 3 na cndm...haiwezekani
 
Huko kutegemea mm ndio ckutaki kbs yani ww umeshakuwa wangu halafu tunakulana miezi 3 na cndm...haiwezekani

no sio kwamba ndio milele na ndom!!!!! Hapana baada ya muda flan hivi
 
Utakulaje pipi na ganda????? Cha muhimu na mpenzio mkapime kabla ya kuchokoana afu ndomu haizuii ukimwi labda mimba na pia wengine zinawazuru, chagua mmoja pimeni mkukuruke kwa raha zenu.
 
Utakulaje pipi na ganda????? Cha muhimu na mpenzio mkapime kabla ya kuchokoana afu ndomu haizuii ukimwi labda mimba na pia wengine zinawazuru, chagua mmoja pimeni mkukuruke kwa raha zenu.

Word..........
 
Me nafikiri anayekubali msitumie kinga ni kuwa na yeye anapenda tu plain. Ni ujinga kumkatalia bf wako kutumia kinga, eti kisa yeye hataki au unamuogopa sana sijui. Kubali kwa kuwa unataka and not otherwise.
 
Ukimwi unatisha jamani, muhim kuwa waaminifu maana mnaweza mkapima kabla na kwenda kavu kavu baadae mmoja au wote mnaanza kuchepuka inakua ni kutwanga maji kwenye kinu
 
Condom hata bei zake nishasahau. There's no way nivae condom wakati huyu ni gf wangu, kama ni swala la mimba zipo njia nyingine lakini sio kuvaa kitu kinachopunguza maana hasa ya kutiana.

Tatizo ni nyie wavua chupi ovyo ovyo. Leo mwavua kwa huyu kesho kwa yule, mnahatarisha usalama wa afya zetu. Mie wangu ashajua condom marufuku.
 
Utakulaje pipi na ganda????? Cha muhimu na mpenzio mkapime kabla ya kuchokoana afu ndomu haizuii ukimwi labda mimba na pia wengine zinawazuru, chagua mmoja pimeni mkukuruke kwa raha zenu.
Kuloweka na kupima ndiyo mpango mzima...... Japo hapo kwenye condom umechapia....
Condom huzuia maambukizi ya ukimwi ikitumika kisahihi.
 
kuna kondom nyingine zinamuumiza mwanamke, yani zinahitaji ad awe too wet ndo umuingie hususani zile zenye vipele kama dume, rough rider, salama syuds n.k
 
Alaf nyie ndo tunawatafuta,yan condom haizuii ukimwi duuuuuuu
kwel kusoma si kuelimika.

ushauri, Condom ikitumika vzr itakulinda MR:angry:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…