Wanawake hamuogopi maradhi?

Sio mara ya kwanza kusikia hii kauli....wanawake wa hivi sijui mnawatoaga wapi....
 
big nooooooo! when it comes to kuduu.....masihara kapuni......
 

Kaka hili ulilolitoa hapa ni kweli, mwanamke akishakukubalia maamuzi mengine yote anakuachia wewe
 
Ina maana Maradhi umeona tatizo kubwa kuliko Kumuudhi Mungu wako kwa kufanya dhambi ya Zinaa...kwa taarifa yako akitaka kukupa ukimwi hata kwa kupitia jasho mnalotoka wakati wa uchafu wenu hashindwi
 
Aknowledge source?

condoms when used correctly are the only form of protection that can help stop the transmission of sexually transmitted infection such as HIV
source UNAIDS,WHO
 
Mimi ni mwanaume ila condom tupa kule.
Yaani nikianza kuelezea za ndom sitaweza kumaliza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…