Honey Faith
JF-Expert Member
- Aug 21, 2013
- 15,782
- 11,841
Mkuu tupatie majibu, kwanini mnaweka maisha yenu rehani kiasi hiki?
Kwani kwa wakati huo mwanaume maisha yake hayapo rehani?Au mwanaume huwa hajali maisha yake?
Yapo hatarini kama ilivyo kwa mwanamke...
Lakini sijui kama ushawahi kuhudhuria semina za magonjwa ya zinaa ikiwemo ukimwi...
Kama utakuwa ushawahi kufika huko, utakubaliana nami kuwa wale wakufunzi mara nyingi huamasisha wanawake ndio wawe mstari wa mbele kuhakikisha 'patna' kavaa soksi...
Tena huwa kunakuwa na toys za maumbile ya kiume na hufundisha hatua hadi hatua ya namna ya kumvisha mwanaume kondomu kwenye ubo.o uliodinda...
Habari wana MMU
Kwa uzoefu wangu katika suala zima la mahusiano linapokuja suala la kushiriki tendo la ndoa/mapenzi mwaname ndiye anayeachiwa afanye maamuzi ya kutumia kinga ama la, hili suala ni la kusikitisha sana sijui ndiyo wanakolea hadi kupoteza fahamu ama vipi.
Usiseme nakutana na malaya, hapana.
Ni watu wenye staha na afya njema kabisa lakini sijui kwanini suala la kutumia kinga hawalipi kipaumbele.
Kumbuka ni baadhi ya wanawake wanafanya hivi na ni wengi mno.
Sija attack mtu, hapa tujadiliane.
Hata sijui umeandika nini hapa
Okay madame,,,,,,but your name looks like he and not she.....Weeee am not sir please!!
Amesena nyie wanawake hamna maamuzi linapokuja suala la kutumia kinga
Inategemea ntu na ntu
Hahahaha...ntu kama ww huwa unadai itumike?
Mie bado sijaanza hivyo vitu so siku nikianza nitakwambie khali ikoje.....lol
Hahahahahah u wish
Hapana hata siwish maana I have long way to go so need yakuanza kuwish
Kwani Condom inazuia ukimwi?
Long way to go!?...plz be serious
Mimba....
Unataka niwe serious kiaje?