Wanawake hamuogopi maradhi?

chakii

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2013
Posts
21,885
Reaction score
29,674
Habari wana MMU

Kwa uzoefu wangu katika suala zima la mahusiano linapokuja suala la kushiriki tendo la ndoa/mapenzi mwaname ndiye anayeachiwa afanye maamuzi ya kutumia kinga ama la, hili suala ni la kusikitisha sana sijui ndiyo wanakolea hadi kupoteza fahamu ama vipi.


Usiseme nakutana na malaya, hapana.

Ni watu wenye staha na afya njema kabisa lakini sijui kwanini suala la kutumia kinga hawalipi kipaumbele.

Kumbuka ni baadhi ya wanawake wanafanya hivi na ni wengi mno.

Sija attack mtu, hapa tujadiliane.
 
kwani tatizo ni mwanamke au ugumu wa maisha?

by the way, mwanaumw ndiye yuko kipaumbele kuchimba shimo la tatizo.. naamini mwanaume akosema NO inakuwa No kweli...

mwanamke ni kiumbe dhaifu tu hapa duniani.. influence yake iko kwenye mambo malaini laini tu! not otherwise...

suala la ngono, hapa master doer ni mwanaume tuuu!

0„5¢ã$ only are things that are killing women currently..
 

Cjui umeandika nn:what:
 
Pole kwa kuchanganyikiwa na maelezo mengi..

Otherwise uniambie shida uliyoona ni ipi!

Cjachanganyikiwa wala sina shida ila jinsi ulivoelezea as if wanawake hatuna usemi kabisa anyway hayo ni mawazo yako suala la kutumia kinga au kutokutumia ni la wote na lapaswa kujadiliwa na endapo wote wataliridhia its okey kama mimi binafsi cpendi hizo habari za kinga only bz nipo na mmoja na tumepima tunajiamini,si kila jambo la kujudge wanawake
 
Kidole kamwe hakijui utamu sikio linaloupata wakati wa kuchokolewa...teh teh!!!
 
Nami nataka jibu hapa.

inazuia endapo ikitumika vizuri ukimwi unaambukizwa pale damu na damu zinapo gusana, umewahi kusika kwamba kutahiriwa kwa mwanaume inapunguza kuambukizwa h.i.v? Sasa itakuwaje ukivaa na condom sindiyo kabisa umeondoa uwezekano wakuambukizwa hapo..
 
Kama hao wanawake wanajifanya wenyewe itakuwa wana vichwa vigumu kweli! Hawana chembe ya uoga wa maradhi kabisa! Ila kama wanafanya na sisi hapo ni story nyingine mkuu!

Kama alivyosema Mafikizolo hapo juu! Both parties are in danger!

NB:inakuwa rahisi kwa mwanaume ambae ashajikatia tamaa ya status ya afya yake kuamua kucheza rafu bila kinga so ni chanagamoto nzuri pia kwa wadada kuwashawishi na kuwalazimisha wenzi wao watumie kinga kila wanapokutana especially kama hawajapima na kujua status zao. Mwanaume anaejitoa muhanga kufanya bare s3x ni hatari sana na hajiamini na status yake so kote kote ana zama kavu kavu!

Sent from my WhiteBerry using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:

mkuu fatilia vizuri matumizi ya condom.
1.inasaidia kuzuia mimba...
2.inasaidia gegedo kuonekana nene tofauti na mwanzo hii ni spesho kwa vibamia huwa wanavaa tatu kwa pamoja!
3.inasaidia kumwelewa mwenzio kama aliwahi tumia au la! kama hajawahi utaelewa wakati wa kuvaa!!!
4.inasaidia kumweka akilini mwenzio kitu gani kinaendelea pindi atakapoiyona!!!

usijidanganye kuwa inazuia ukimwi ohoooo!!!
 
Hahahahha its OK never mind but, using our real ID won't be good at all.
Teh the

That's why there's a need of us to use our real ID's to avoid these naming conveniences.

I'm sorry for naming you Sir
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…