KakaKiiza
JF-Expert Member
- Feb 16, 2010
- 11,578
- 8,600
Hivi kwa nini sisiwanaume tukiwa na uhusiano na mwana mke baada ya mda mrefu huona kama mzigo au anakukera na kuona bora utafute mpya?nakama mkiendele halikama hiyo haijawatokea jua hata mkioana itakutokea na ndo chanzo cha kutoka nje ya ndoa nakuleta mafarakano,nakwakuwa huyo uliye naye nimke huna uchaguzi lasivyo ungeisha mtimua!Je nyie wanawake huwa mnajijua kama nyinyi nichombo cha kustarehesha?kwamba ukichoka na hiyo starehe unatupa kule unaendelea na burudani nyingine?mbaya zaidi unatumiwa hivyo wakati wewe umewekeza mia kwa mia!fikirieni hilo nawala msitulaumu sisi wanaume kwani nature ndiyo inayo tutawala.