Wanawake hamjitambui kwa hili au ni nature?

KakaKiiza

JF-Expert Member
Feb 16, 2010
11,555
8,552
Hivi kwa nini sisiwanaume tukiwa na uhusiano na mwana mke baada ya mda mrefu huona kama mzigo au anakukera na kuona bora utafute mpya?nakama mkiendele halikama hiyo haijawatokea jua hata mkioana itakutokea na ndo chanzo cha kutoka nje ya ndoa nakuleta mafarakano,nakwakuwa huyo uliye naye nimke huna uchaguzi lasivyo ungeisha mtimua!Je nyie wanawake huwa mnajijua kama nyinyi nichombo cha kustarehesha?kwamba ukichoka na hiyo starehe unatupa kule unaendelea na burudani nyingine?mbaya zaidi unatumiwa hivyo wakati wewe umewekeza mia kwa mia!fikirieni hilo nawala msitulaumu sisi wanaume kwani nature ndiyo inayo tutawala.
 
Kakakiiza kuna ukweli ndani yake
lakini mke au mme ni zaid ya starehe ,
yapo mengi mazuri yanayowafanya watu kuendelea kuwa pamoja,
(nakwazwa sana na wanaotumia lugha chafu humu, hasa dhidi ya ya mawazo ya wenzao)
 
<i>.</i>&quot;<b><font color="#FF0000"><font size="4">When a stupid man is doing something he is ashamed of, he always declares that it is his duty</font></font>.&quot;</b>
<br />
<br />
mumy umekuwa # sana bwana hayo ni mawazo yake! Au nawe Mr ameshakuchoka?
 
Ungefikiria kwa undani zaidi kabla hujaja na hoja hii..! unaonesha dharau kwa wanawake na kuna uwezekano hata hujui umuhimu wao ktk jamii
Unachozungumzia wewe ni tabia tu na kujiendekeza! Mapenzi si kitandani,
 
Mkuu uamuzi au hatua ambazo
zinaweza kumuumiza mtu mara zote ni vgm kupata go ahead kwa mwenye tafakuri sahh,
nahisi una kesi ya namna hiyo,
so fanya maamuzi unayoona yanakupa faraja maishani,
zako changanya na ..., kwa sasa mzinzi anahubiri khs ubaya wa uzinzi!!
Ila ukweli unauma na sasa wanatukana ,poleni,
 
Kuwa creative kakaliza, tafuta mbinu za kufurahia penzi na mwenzako kila siku, ukiona unakifu fanyeni trip, nendeni nje na maeneo mlozoea, utamwona mpya kila siku
 
Hivi kwa nini sisiwanaume tukiwa na uhusiano na mwana mke baada ya mda mrefu huona kama mzigo au anakukera na kuona bora utafute mpya?nakama mkiendele halikama hiyo haijawatokea jua hata mkioana itakutokea na ndo chanzo cha kutoka nje ya ndoa nakuleta mafarakano,nakwakuwa huyo uliye naye nimke huna uchaguzi lasivyo ungeisha mtimua!Je nyie wanawake huwa mnajijua kama nyinyi nichombo cha kustarehesha?kwamba ukichoka na hiyo starehe unatupa kule unaendelea na burudani nyingine?mbaya zaidi unatumiwa hivyo wakati wewe umewekeza mia kwa mia!fikirieni hilo nawala msitulaumu sisi wanaume kwani nature ndiyo inayo tutawala.

Hii hali hii ni mbaya na huwaumiza saana akina dada..... Lakini hata hivo huyo me anakua hakumpenda kabisa mdada bali kumtamani...
 
So una maana wanawake wasiwe na mahusiano je agano la ndoa litatimia vipi? usipotoshe umma mbona kuna ndoa nyingi zenye upendo na amani wenye tamaa za mwili ndo hutumia mwanamke kwa muda?
 
mkuu unachojaribu kutuambia ni kuwa kwako wewe mwanamke ni chombo cha starehe na si zaidi ya hapo...,kwa mtizamo huo nakushauri usioe,coz marriage is more than sex
 
Mimi nimeelezea jinsi navyoona malimwengu!hivyo ni mtizamo niliwamiss siku nyingi wenye uwezo wakutuka you can proceed with your tongueless!!
 
Hivi kwa nini sisiwanaume tukiwa na uhusiano na mwana mke baada ya mda mrefu huona kama mzigo au anakukera na kuona bora utafute mpya?nakama mkiendele halikama hiyo haijawatokea jua hata mkioana itakutokea na ndo chanzo cha kutoka nje ya ndoa nakuleta mafarakano,nakwakuwa huyo uliye naye nimke huna uchaguzi lasivyo ungeisha mtimua!Je nyie wanawake huwa mnajijua kama nyinyi nichombo cha kustarehesha?kwamba ukichoka na hiyo starehe unatupa kule unaendelea na burudani nyingine?mbaya zaidi unatumiwa hivyo wakati wewe umewekeza mia kwa mia!fikirieni hilo nawala msitulaumu sisi wanaume kwani nature ndiyo inayo tutawala.

Kakakiiza......leo umenikwaza.......
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom