Wanawake eleweni hili; Kutongoza na kutosikilizwa kunatuumiza sana

Aa! Sijakataa ingawa sio sanaa.haha
Hahahahaaaaa basi usiwe unapenda kubishana na mchungani akikueleza ukweli aliionyeshwa na bwana, la sivyo unaweza kusababisha kukaukiwa kwa chemchem za baraka ambazo MUNGU amekujaalia.
 
Daby na mimi nitongoze basi, mbona mna upendeleo!! Au unafikiri mimi sitaki baraka!!!
 
Haha asante kwa ushauri mama... Ngoja nianze kuufanyia kazi nisichelewe chelewe.
 
Hayo macho yapoje Mkuu!!! macho ya Nyegezi mwanaume
 
Nimekutafuta weee hata sikupati.
Ukibaki nazo utaulizwa, hivyo nitafute tu unipe.
Nimekwmbia untafute unaleta mapozi,,, bora nibak na baraka zangu asiee kuliko kuja kuzileta kwako
 
Shetani hana adabu kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…