Jackline Bahath
JF-Expert Member
- Feb 14, 2016
- 681
- 627
Nn nimekosa?Aa! Sijakataa ingawa sio sanaa.haha
Nn nimekosa?Aa! Sijakataa ingawa sio sanaa.haha
Hahahahaaaaa basi usiwe unapenda kubishana na mchungani akikueleza ukweli aliionyeshwa na bwana, la sivyo unaweza kusababisha kukaukiwa kwa chemchem za baraka ambazo MUNGU amekujaalia.Aa! Sijakataa ingawa sio sanaa.haha
Hahahaahaha.sawa baba mchungj.Hahahahaaaaa basi usiwe unapenda kubishana na mchungani akikueleza ukweli aliionyeshwa na bwana, la sivyo unaweza kusababisha kukaukiwa kwa chemchem za baraka ambazo MUNGU amekujaalia.
Mpenda maendeleo mwenzanguHahahaahaha.sawa baba mchungj.
Ha ha ha ha kwa hi sentence itakua nmewapa baraka wakutosha tu
Haha asante kwa ushauri mama... Ngoja nianze kuufanyia kazi nisichelewe chelewe.Pole mwanangu Daby dunia imebadilika. Kasikilize ule wimbe wa Diamond na wenzake wamevaa mawigi wanavyosema. Zilipendwa. Eti nakuona kwenye glas nikinywa maji? Wenzio wa sasa sijui wanataka nini sababu nimejaliwa midume tu ka dada kamoja nako kama hao unaowataja.
Tafuta mdada anayekuzidi kidogo akufundishe mbinu. hahhahhahha.
Haha asante kwa ushauri mama... Ngoja nianze kuufanyia kazi nisichelewe chelewe.
Kumi.
Hayo macho yapoje Mkuu!!! macho ya Nyegezi mwanaumeNiko huko
Kuna jamaa mmoja nilikutana nae kwenye Kidia ya Arusha-Dar,
Nilimzimikia Ila nikakausha,
Mwezi uliopita nimegundua ni jirani yangu, juzi nimekutana nae kibanda cha chips,
Ameniangalia nikaloose control ikabidi nibadili gia angani nikaondoka
Yaani ana macho fulani hivi akikuangalia unalowa, sijui namkwepaje manake nimeokoka Ila shetani ananimendea kwa nguvu
Nimekwmbia untafute unaleta mapozi,,, bora nibak na baraka zangu asiee kuliko kuja kuzileta kwakoFisadiiiiiii, ujue nimekumiss. Njoo unipe baraka basi na mimi.
Nimekwmbia untafute unaleta mapozi,,, bora nibak na baraka zangu asiee kuliko kuja kuzileta kwako
Niko huko
Kuna jamaa mmoja nilikutana nae kwenye Kidia ya Arusha-Dar,
Nilimzimikia Ila nikakausha,
Mwezi uliopita nimegundua ni jirani yangu, juzi nimekutana nae kibanda cha chips,
Ameniangalia nikaloose control ikabidi nibadili gia angani nikaondoka
Yaani ana macho fulani hivi akikuangalia unalowa, sijui namkwepaje manake nimeokoka Ila shetani ananimendea kwa nguvu
mie mwenyew nimefikiria huko..imagine unakua na jiran yako mwanaume mwenye vigezo vya ISO..macho ya nyege nyegemie nitahama mtaa..
Tutumie hii njia kufanyaje?
Nan ataiuliza umentafuta wapi dogo unazinguaNimekutafuta weee hata sikupati.
Ukibaki nazo utaulizwa, hivyo nitafute tu unipe.
Tutumie hii njia kufanyaje?