Jurrasic Park
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 3,831
- 6,878
Habari za jumapili wana mtaa wa MMU
Katika pita pita zangu huku duniani nilikutana na hoja hizi hapa kutoka kwa wanawake. Kutokana na wengi kupitia hapa jf na kusoma mabandiko yanayowasema wao na nyuchi zao. Sasa leo nilishangaa kuambiwa wanawake kumbe nao wanapenda (sijui wingi wake) ume tofauti nazo zina ladha tofauti. Kuna aina kuu nne za uume duniani ambazo wanaume wanazo. Naomba kuziorothesha hapa jukwaani
1. Uume nyundo- huu kwenye kichwa kinakua kikubwa lakini shina lina kuwa jembamba kama NYUNDO
2. Uume mshumaa-huu kuanzia kwenye kichwa chake mpaka shina ni kama unalingana
3. Uume pendwa- huu kwenye shina panakua pa nene ila kwenye kichwa kinakua cha wastani nikimaanisha shina na kichwa vimetofautiana i.e kichwa kidogo (sio sana)
4. Kibamia - sihitaji kueleza sana
Sasa katika hiyo yote minne niliyoelezwa, huu namba #3 ndo unapendwa zaidi na wanawake. Sasa nataka kupata data kutoka kwenu wa dada na wamama mliomo humu ndani jee kuna ukweli katika aina zote nne kwamba una ladha tofauti kama sisi wanaume tunaposema papuchi nazo zina ladha tofauti.
Naombeni mfunguke kwa uhuru. Naimani nitapata majibu mazuri humu ndani ya jukwaa la MMU
Asante