howardlite
JF-Expert Member
- Jul 16, 2016
- 248
- 413
Kwasababu yule dada alivyoona tayar kapewa mimba alianza ku kuonyesha love kwa yule jamaa aliyemzingua
Haina Kufeli,
Sanaaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]hilo neno huwa linauma!!!
Amin haiezekan, Kiatu kimeumbiwa Mguu bwana haizekan kiatu kichague mguu.. Mguu ndo unachagua kiatu.
Sawa rafiki.Amin haiezekan, Kiatu kimeumbiwa Mguu bwana haizekan kiatu kichague mguu.. Mguu ndo unachagua kiatu.
Kasoro mimi tu nitoe hapo AntonniaHio ipoo hata kwa wanaume piaa!!
Nakazia.
good lies and good dick will waste many women,s timeWadau kuna kitu wanawake huwa wanakosea sana, unakuta kuna mchizi anampenda kinoma na mchizi anatia mavoko kabisa sometimes na kutuma hata watu wa karibu kwa demu wamueleze lakini unakuta demu anazingua, nyodo nyingi na kumuona mshkaji kama lofa flani hivi na unakuta mwamba anaeleweka tu.
Sasa inakwenda hivyo mpaka mwamba unakuta anakata tamaa na kuacha kabisa kufatilia tena.
Cha ajabu sasa huyo dem ukimfatilia utakuta mtu anaye sumbuka nae hana hata mpngo nae lijamaa unakuta kwanza halina kipato na matokeo yke anapewa mimba halafu lijamaa linakataa hiyo mimba.
Sasa swali langu ni kwamba inamana mdem huwa hawajui mwanaume anaye mpenda au wana amua tu kujitoa ufahamu?
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Kweli eeehh!!. Basi uko vizuri mkuu hongera!
Mm ni mmojawapo, coz nikipenda najuaga chizi freshHivi kumbe kuna watu wanaumia na Mapenzi? 2023AD?
Same to baadhi ya wanaume, wakipendwa wanajikuta miungu watu. YoohWadau kuna kitu wanawake huwa wanakosea sana, unakuta kuna mchizi anampenda kinoma na mchizi anatia mavoko kabisa sometimes na kutuma hata watu wa karibu kwa demu wamueleze lakini unakuta demu anazingua, nyodo nyingi na kumuona mshkaji kama lofa flani hivi na unakuta mwamba anaeleweka tu.