Wanawake wa Botswana kurithi mali.... Mahakama nchini Botswana imeweka historia kwa kuwaruhusu
wanawake kurithi chini ya sheria za kitamaduni na kukataa
utamaduni wa wanaume kuwa warithi wa pekee. MAJAJI WASEMA UTAMADUNI UNAOWAPENDELEA WANAUME
UMEPITWA NA WAKATI......NADHANI MAJAJI WALIKUWA
SASHIHI ...MAANA WANAUME WANAPENDELEWA SANA NA
TAMADUNI ZA JADI.......NINI MAONI YAKO?