Hapo ndipo unapotakiwa kupima mzani wa udhaifu vs upendo. Ukiona kama anakuzingua sana japo unampenda jua huyo si mtu makini. Jiengue!Kuna wanaume hata hawapendeki
Unaweza mpenda akiwa Hana chochote na akakufanyia shit nyingi tu,unajitahidi binti wa watu lakini wapi
Sasa unajiuliza,Kama Leo anafanya haya ,,akipata pesa na majumba itakuwaje!??.
Kumkuta mtu amejikamilisha ama hajajikamilisha si kigezo cha kudate na mtu,,what matters Ni upendo wa dhati
Kuna wanaume Wana kila kitu kabisa na Wana upendo wa dhati,Kuna ambao hawana chochote pia wanaupendo wa dhati,Kuna wengine Wana kila kitu ila Ni wadanganyifu pia Kuna wale hawana chochote Ni wadanganyifu pia
Kwa hiyo nadhani Jambo Muhimu la kuangalia Ni true love regardless ya uwezo wake ama umasikini wake though Kuna faida na hasara ktk kila upande
Nb:Kuna mwanamke anakuja kwako si kwa sababu ya Mali ulizo nazo,anakuja kwa sababu Ana Nia ya dhati kabisa na wewe
Sent using Jamii Forums mobile app
Mtoa mada anaongelea about future. Dada zetu mna katabia cha kuchagua wanaume ambao mnaona kabisa hapa hamna future yoyote zaid ya starehe.bora ku enjoy na huyo mwenye gari na pesa,nyie mnaojenga mkimaliza tu nyumba,mnaanza kujiona matawi n mna status nyingine hivyo mnahitaji mpenzi mwingine… lol
Yeah nimeona tayari kuna baadhi wame protest vikali! Ila mie huwa naongea kweli hata kama chungu.Nina uhakika asilimia 90+ ya wanawake watapinga huu ushauri wako. Watauona old skul.
Dunia ya sasa iko shaped tofauti na mtazamo wako hata kama ndio mambo sahihi.
Sanasana watakuona ni orthodox conservative (convetionalist).
Akishazipata anaona we sio type yake tena, wewe ulikuwa wa yule maskini sasa hivi ameshakuwa matawi anahitaji mtu wa status yake lohbora ku enjoy na huyo mwenye gari na pesa,nyie mnaojenga mkimaliza tu nyumba,mnaanza kujiona matawi n mna status nyingine hivyo mnahitaji mpenzi mwingine… lol
Yeah we umenipata uzuri kabisa mzee baba, watoto wanapenda slope af wakilizwa wanakuja na nyuzi za kupondea wanaume wote.Mtoa mada anaongelea about future. Dada zetu mna katabia cha kuchagua wanaume ambao mnaona kabisa hapa hamna future yoyote zaid ya starehe.
Wale wenye future(mr.nice guys mnavyowaita) mna waona wapumbav.
Hata kama na mwanaume ambae ndio anajijenga jitahid usimfanyie vituko. Wanaume tunatabia ya kukumbuka vile vitendo..
Mwanaume kama huyu ukimfanyia vituko wakati hana pesa.. akija kuzipata usilalamike. Kila tatizo lina chanzo chake so play safe.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa mdada wa mjini, ila nyuzi za vilio hatutaki kuziona humu. Huwezi taka utamu wa ndizi wakati umenunua limao.Sasa mkuu hivi ww unajielewa?, mdada asipokupendea u-handsome, unataka akupendee nn? Ww hupendei wadada chura, sura, na matiti? Hebu tuondolee ulevi hapa
Tatizo sio wote wana hayo matatizo mamaa. Wapo ambao wapo decent with a lot of respect. Ukipata mwanaume ambaye hajaumizwa sana huwa wapo poa. Walioumizwa sana wanaonaga wanawake wote matapeli tu same as you do.hakuna mwanamke anataka shida labda itokee tu.mtu anakuvumilia n.a. shida zako mpka Kalahari ukipata kidogo tu,kichwa hicho simu hupokei,hupigi,hujibu message kisa mafanikio kidogo tu..ha ha ha wanaume bhana mna ufala fulani hivi.independent woman nakuangalia nasema hiiiiii napita vile
Sent using Jamii Forums mobile app
Ishu iliopo ni kuwa mwanaume mwenye mpunga kidogo means anajimudu ila still anapambana kufika juu ni tofauti kimtazamo na mwanaume mwenye mke na watoto nyumbani ambaye ashakuwa stable sana kiuchumi..hivyo wanawake walioko desperate na maisha ya kifahari wana fall prey kwa kudanganywa wakiujua ukweli wanakuja kuanzisha nyuzi humu.Huwa sielewi hii notion kwamba sisi wanaume wenye mali hatuna mapenzi ya kweli ilitokea wapi?
Kwamba mapenzi ya kweli yapo kwa maskini tu, sisi ambao tushatusua maishani hatuwezi kupenda.
Dada zangu, bora ulie machozi ndani ya gari kuliko kwenye baiskeli. Tafuta mtu mwenye mpunga na mapenzi.
Hahah khantwe ushawahi kukutana na kadhia hio?Akishazipata anaona we sio type yake tena, wewe ulikuwa wa yule maskini sasa hivi ameshakuwa matawi anahitaji mtu wa status yake loh
Sent using Jamii Forums mobile app
Cha muhimu ujumbe umewafikia mkuu. Ataesikia na asikie.Yeah nimeona tayari kuna baadhi wame protest vikali! Ila mie huwa naongea kweli hata kama chungu.
Aah siri yangu mkuuHahah khantwe ushawahi kukutana na kadhia hio?