Wanawake badilikeni

dedon

JF-Expert Member
Jul 6, 2015
1,507
2,063
Habar yenu wana jamii forums

Leo nimekumbuka kisanga flan kilichonikuta kipind nasoma kama kuna wahusika wajirekebishe

miaka kama mitatu hv kipind niko nachukua degree yangu chuo flan hapa dar nikapata manz yy alikua anasoma degree Mwanza

mm sikua na mkopo so kila kitu nilikua nategemea kutoka hm bt mwenzangu yy alikua nao na boom lake

mahusiano yetu yalikua gud likizo full kuenjoy pamoja tukiwa wote dar then chuo kikifunguliwa ni mwendo wa sim japo nilikua na michepuko huku mjini lkn yy ndo nilikua nikiamin atakuja kua mama watt wangu

alivofika mwaka wa tatu,,,matatzo ya loan board kama kawaida boom lake lilikua na matatzo hvo wakamcheleweshea yy peke ake kuna mistake alijichanganya

Kimbembe kikaanza hapo ikumbukwe huyu manz hakuwah kuniomba pesa hata kidogo sema tu mm ndo nilikua nasimamia show za outin kumaintain uanaume

Manz ikabd aanze kuomba hela kwao akat anashughulikia mkopo wake bahat mbaya kabla ya matatzo hayo Mzee wake alikua akiumwa na alikua amejiajiri so biashara zikawa zinazingua ikawa akiomba hela anapewa labda 20k kwa wiki sometime hadi 15k akawa anasononeka sana hela haimtosh sema ndo hvo hana la kufanya siku nyingne unampigia anakwambia hajala nikaona hapa kuna dalili za kuanza kuchapiwa mke wangu ikabidi nianze kujiongeza akiniomba hela namtumia toka kwenye pesa nilopewa mm hm

kwakua mm kidume nikawa najibana tu life linasonga manz akarudi kwenye life lake la kawaida

hali ikaendelea zaidi ya wiki sita bahat nzur boom lake likaingia alifurahi kinoma

tatzo likabak kwangu nilikua nimeshatoboka mnoo ikabdi nimuombe manz yangu aniboost hela kidogo tu kama ya wiki moja tu nilokua namtumia madeni kila kona ingawa sikumwambia na shda gan nayo nilimdanganya kuna ishu nataka niifanyie akakubali atanipa baadae akienda tigopesa...kimya kikawa kimya ikabd baada ya siku mbili nimkumbushie dah alichonijibu nilichoka "unajua beby nna maden meng sana imebd nilipe leo yote" dah nilichoka akanihaidi jingne linaingia wiki inayo usijali ntakutumia

hilo boom jingne nalo kuingia story ikawa ile ile uzur kipind hiko nilishaanza kujieka sawa nikalipa madeni yote mwenyewe nikaendelea na lyf langu

baada ya pale mapenz na yule mwanamke yalikata kama umeme yan nimemsaidia zaidi ya wiki sita yy msaada wa wiki tu matatzo zaidi akawa anajisifu leo nimemtumia sijui dada yangu hela wote ambao hakuna hata mmoja aliemtumia hata shiling 10 akat mkopo wake umezingua

kuanzia hapo nikasemaga mm kuja kumuhonga mwanamke ambae sijaoa haitokaa itokee tena hapa dunian
 
Duh!!Polee,amezingua kweli kweli. Mimi tu nazamaga mfukoni sometimes namsaidia wa kwangu
 
Pole sana mkuu
 
Tangu lini ukimpa mwanamke hela unataka akurudishie tena? Wewe huelewi mambo vile yanaenda.

Huyo mchumba wako wala si mbinafsi kama unavyodhani. Wewe mwenyewe umetengeneza mazingira ya kumshuku na yeye amwgundua hajui namna gani aongee na wewe tena.

Mahusiano mengi yanakufa kwa njia hii.

Mkuu jifunze kuona mambo kwa upana na marefu yake.

Kuwa philosopher kama Plato vile
 
Ungekuwa mkweli kwake, kuwa nakupa ila nimekopa sehemu. . Ulivyokuja kumuomba angekupa

Ila hata mimi ungeniomba hela baada ya kupata boom, ningekuona Kama opportunist
 
Back
Top Bottom