D Metakelfin
JF-Expert Member
- Mar 23, 2017
- 3,728
- 4,172
Ni asilimia 99.9% ukiwemo na wewe.. Au haukumbuki kama nimeshawahi kukutongoza??weweee siyo wote
mi sipo humo weweNi asilimia 99.9% ukiwemo na wewe.. Au haukumbuki kama nimeshawahi kukutongoza??
tena akikuuliza nikwambie kitu ukimjibu ndio akisema unajua kuna kitu kizuri nimekiona mjini nlivyoenda na mamdogo jana please my brother,usijaribu kuuliza kitu gani utakuja kujilaumuMwanamke ni kiumbe anayependa sana attention, kubembelezwa, kudekezewa, kuambiwa mambo mazuri yale ambayo angependa kuyasikia... hata kama jambo anajua jibu lake lakini bado atataka asikie kutoka kwenye kinywa chako tena na tena... Ni wepesi kuchukia na pia ni wepesi kufurahi...
Akili ya mwanaume inatakiwa muda wote iwe tayari kufikiria haraka na kutoa majibu mazuri kwa mwanamke...
Hayo maswali ni mepesi sana...
Ogopa sana ukifanya jambo na akawa ankujibu...
1. Haina neno.
2. We endelea tu.
3. Nipo sawa.
4. Namaongezi na wewe.
5. Nikuambie kitu.
cc: mahondaw
Mwanamke ni kiumbe anayependa sana attention, kubembelezwa, kudekezewa, kuambiwa mambo mazuri yale ambayo angependa kuyasikia... hata kama jambo anajua jibu lake lakini bado atataka asikie kutoka kwenye kinywa chako tena na tena... Ni wepesi kuchukia na pia ni wepesi kufurahi...
Akili ya mwanaume inatakiwa muda wote iwe tayari kufikiria haraka na kutoa majibu mazuri kwa mwanamke...
Hayo maswali ni mepesi sana...
Ogopa sana ukifanya jambo na akawa ankujibu...
1. Haina neno.
2. We endelea tu.
3. Nipo sawa.
4. Namaongezi na wewe.
5. Nikuambie kitu.
cc: mahondaw
Etinyie mnaona ya kipuuzi hayo maswali lakini majibu yake yanatosha kuongeza upendwe