kuna jirani yangu bwana nguo zake huwa anafuliwa na mama mmoja hivi anakuja kufua jmosi kuja tena hadi jtano
huyu mama jirani kutoa nguo kwenye kamba ni kazi .kipindi cha jua nguo zinapigwa jua hadi unazionea huruma unatamani hata kuzipa maji ya kunywa.
sasa kipindi hiki cha mvua sasa nguo zinanyeshewa zinakauka zinanyeshewa tena basi taabu tupu .nahisi watakuwa wananuka sana humo ndani. kuna wakati mume akitaka nguo flani unamuona anaifata kwenye kamba jamani. huwa nacheeka kama mazuri.
kuna wanaume ndani wana shida hadi basi.
Vifuniko vya honey pot..[emoji12]Vifuniko vya asali[emoji3] [emoji3]
Sio Uchafu, mi pichu zangu zote nafua weekend kwasababu Ntapata muda mzuri wakuziloweka, kufua vizuri, kuzianika kwenye washing line juani zikauke vizuri, zianuliwe, zipasiwe pale kati then zikunjwe zitunzwe vizuri. Pichu hasa Kama unapenda zile nyeupe nyeupe zinahitaji special treatment, kuzifua wakati wakuoga ni kuziharibu.Hahaha umenifurahisha hapo kwenye kuzipa nguo maji ya kunywa.
Ila kuna wanawake wachafu jamani,wwngine wanarundika chupi week nzima,anavaa na kutupia kwenye nguo chafu zikiisha kabatini zile chafu ndio zinalowekwa na kufuliwa.
Nyumba za kupanga hizooTrue hata mimi nimeona jana Mume akitafuta taulo nje kwenye kamba tehe tehe
Hivi kwa nini hamfui chupi na sabuni ya kuogeasio uchafu bna mi mwenyewe nina kikapu changu natupia humo nafua jpili zoote.sifui chupi zangu na sabuni ya kuogea mie
Kumbe tupo wengi, tena hususani pichu nyeupe zinahitaji umakini wa hali ya juu, pichu zina raha yake banahSio Uchafu, mi pichu zangu zote nafua weekend kwasababu Ntapata muda mzuri wakuziloweka, kufua vizuri, kuzianika kwenye washing line juani zikauke vizuri, zianuliwe, zipasiwe pale kati then zikunjwe zitunzwe vizuri. Pichu hasa Kama unapenda zile nyeupe nyeupe zinahitaji special treatment, kuzifua wakati wakuoga ni kuziharibu.
BTW chupi inakuwaga na Uchafu gani kwani? Muda mwingine inavuliwa kama ilivyovaliwa, Sometimes unakuta tone dogo sana la vagina discharge nothing more nothing less.
Na mimi nashindwa kuwaelewa... Yaani tokea nipo mdogo bafuni kunakua na sabuni ya kuogea na ya kufulia, mama alinifundisha kabla sijaanza kuoga nafua kwanza chupi yangu... Nikiwa na haraka sana ndo ntaiweka ntaja fua nikioga baadae. Baada ya mda nachukua chupi zote safi na kuziloweka.... Inazuia zisifubae.Hahaha umenifurahisha hapo kwenye kuzipa nguo maji ya kk.
Ila kuna wanawake wachafu jamani,wwngine wanarundika chupi week nzima,anavaa na kutupia kwenye nguo chafu zikiisha kabatini zile chafu ndio zinalowekwa na kufuliwa.
We ulali tuNa mimi nashindwa kuwaelewa... Yaani tokea nipo mdogo bafuni kunakua na sabuni ya kuogea na ya kufulia, mama alinifundisha kabla sijaanza kuoga nafua kwanza chupi yangu... Nikiwa na haraka sana ndo ntaiweka ntaja fua nikioga baadae. Baada ya mda nachukua chupi zote safi na kuziloweka.... Inazuia zisifubae.
kuna jirani yangu bwana nguo zake huwa anafuliwa na mama mmoja hivi anakuja kufua jmosi kuja tena hadi jtano
huyu mama jirani kutoa nguo kwenye kamba ni kazi .kipindi cha jua nguo zinapigwa jua hadi unazionea huruma unatamani hata kuzipa maji ya kunywa.
sasa kipindi hiki cha mvua sasa nguo zinanyeshewa zinakauka zinanyeshewa tena basi taabu tupu .nahisi watakuwa wananuka sana humo ndani. kuna wakati mume akitaka nguo flani unamuona anaifata kwenye kamba jamani. huwa nacheeka kama mazuri.
kuna wanaume ndani wana shida hadi basi.
Na mimi nashindwa kuwaelewa... Yaani tokea nipo mdogo bafuni kunakua na sabuni ya kuogea na ya kufulia, mama alinifundisha kabla sijaanza kuoga nafua kwanza chupi yangu... Nikiwa na haraka sana ndo ntaiweka ntaja fua nikioga baadae. Baada ya mda nachukua chupi zote safi na kuziloweka.... Inazuia zisifubae.
Sio Uchafu, mi pichu zangu zote nafua weekend kwasababu Ntapata muda mzuri wakuziloweka, kufua vizuri, kuzianika kwenye washing line juani zikauke vizuri, zianuliwe, zipasiwe pale kati then zikunjwe zitunzwe vizuri. Pichu hasa Kama unapenda zile nyeupe nyeupe zinahitaji special treatment, kuzifua wakati wakuoga ni kuziharibu.
BTW chupi inakuwaga na Uchafu gani kwani? Muda mwingine inavuliwa kama ilivyovaliwa, Sometimes unakuta tone dogo sana la vagina discharge nothing more nothing less.
Hahha ok, zinakuwaga na nini hadi uzitie moto?Basi tupo tofauti kabisa. Maana nikirundika hivyo ntazichoma moto tu. Chupi zipo nyingi dukani,zikifubaa ntanunua nyingine
Hahha ok, zinakuwaga na nini hadi uzitie moto?
mimi huwasiwezi kabisa ndo maana naiacha chumbani kabisa kwenye kikapu chakeNa mimi nashindwa kuwaelewa... Yaani tokea nipo mdogo bafuni kunakua na sabuni ya kuogea na ya kufulia, mama alinifundisha kabla sijaanza kuoga nafua kwanza chupi yangu... Nikiwa na haraka sana ndo ntaiweka ntaja fua nikioga baadae. Baada ya mda nachukua chupi zote safi na kuziloweka.... Inazuia zisifubae.
Ndo nilikua nimeamka ivyooo! Nikashindwa rudi kulalaWe ulali tu
Kwani tatizo liko wapiHahaha umenifurahisha hapo kwenye kuzipa nguo maji ya kunywa.
Ila kuna wanawake wachafu jamani,wwngine wanarundika chupi week nzima,anavaa na kutupia kwenye nguo chafu zikiisha kabatini zile chafu ndio zinalowekwa na kufuliwa.
Kwani tatizo liko wapi