Wanawake angalieni hili

Mngh!
 
Dini yangu hairuhusu mwanaume zaidi ya mme wangu kugusa ngozi yangu!!! ...
This is great aisee, hadi raha ila ukimwambia mtu mwengine ataleta ubishi na kuona unampangia maisha.
 
Mwanamke ni autonomous, inabidi ajismamie mwenyewe pasi na kufautwa fuatwa nyuma. Ikiwa mwanamke hajui mipaka yake ata ukimwambia kitu flani sio sawa still atakuona unamzingua tu mara unamnyima uhuru. Shida huanzia hapo!
 
Mimi wangu nilishamwambia nikimkuta huko ndoa Hakuna, na mimi scrub ya mwisho saloon nilifanya siku niliyooa.
 
Hiyo picha umeiona lkn?, utajisikiaje mtu wako akiwa anashikwa shikwa kifuani na mwanamke mwingine. Eti anamfanyia massage. Tuwe na heshima na mahusiano yetu.kila siku tunalalamika watu wanaachana Kwa sababu za kijinga. Huu ndio ujinga wenyewe.
 
ila jamaa kazi yao ina majaribu,mi naonaga washazoea kuona mapaja ya kina dada kwa mimi mazingira hayo naweza nikatia aibu aisee
 
Hapana hamna akili km sisi.
 
Wazee wa zaman walikuwa na akili sana
HAWA VIUMBE HAWAPASWI KUACHWA HURU

COZ AKILI ZAO WANAZIJUA WENYEWE

ONA SASA YANAYOENDELEA KTK HII DUNIA wanajaribu kuwa sawa kama wanaume at the end of the day wanajikuta wamefail

Ni wachache wenye akili ya kujiendesha wengine n hovyo kabisaa
 
Mwanamke ni wa kuwa monitored. Ndo nature ilivyo ukimwacha ajiendee tu atafanya upumbavu tu ni lazma!
 
Alafu wana misimamobalaaaa
Sio hawa we engine pasua kichwa sijui vipusa
Demu mzuri halafu akipenda kapenda,,,hakuna moment nzuri kama unapoona kuna bwege anamshobokea mpenzi wako ikiwa anamtaka then unakuta demu wako anamkazia mi nna mtu wangu kisha hapokei simu zake tena kama njia ya kumkatia moto!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…