Wanawake ambao si waaminifu kwenye NDOA

Asikudanganye mtu...kuacha simu yako huru ni njia nzuri sana ya kuiba na kuibiwa! Mtu akiacha hivyo unadhani hana cha kuficha...kwahiyo hata kumfuatilia huoni haja kumbe unachezewa akili!!Sasa na JF ntachungulia saa ngapi kama muda wote niko na pilikapilika na simu nimeweka chini ya mto??
 
Ndugu hapo umezungumzia upande mmoja kwa wanawake tu vipi kwa wanaume? ukweli simu inawezekana ikamilikiwa hivyo na mwanamke au mwanaume! kuna wanaume hata akiamka usiku kwenda kujisaidia anachukua simu na anaendanayo. Hapo vipi?
 
kwa afya yako na amani ya roho yako ni vyema kutofikiriamasuala ya mwenzi wako anakuibia ama la. hii ni kwa wotemabibi na mabwana.wahenga wanasema "kama huna kazi bora kawingendege kuliko kumchunga mwanamke"
 
Back
Top Bottom