Wanawake ambao HAWAJATUMIKA: Vyuoni wapo wengi tu


Mkuu calm down!
Ujumbe wangu ni kuwa hawa watu wanajitunza tofauti na vijana wengi wanavyofikiria na kuwashambulia.....Mwisho wa siku kama ametumika basi aliyemtumia atakuwa ni mmoja kati ya hao ambao wanawadhihaki wengine waliotumika...
So better stop disturbing them on this issue!
Nadhani hapa wengi watakuwa wamenielewa.
 

Kwa mujibu wa picha uliyoweka kwenye profile nadhani nyie ndio wale wajaribuo kila siku mpaka wawapate. Fine wapo lakini very rare ana wakikutana na mabandidu ndio end yao.
 
Kwa mujibu wa picha uliyoweka kwenye profile nadhani nyie ndio wale wajaribuo kila siku mpaka wawapate. Fine wapo lakini very rare ana wakikutana na mabandidu ndio end yao.

Never judge a book from its cover.
 
Nahisi kama hii thread inajidhalilisha au kumdhalilisha mwanzishaji wake. Inaonyesha ni kiasi gani thinking capacity iko low. Pole kama nimekutusi
 
Bado sijakuelewa unamaanisha nini manake naona umezunguka bila maudhui fasaha ya hii paragraph yako
 
kutumika - used - mtumba sometime watu wanapenda second hand mana vinakuwa vya ukwee.. ila naunga mkono hoja kuwa zipo/Wapo ambazo bado ziko kwene box lake. angalizo:msije mkamaliza vyuo vyote kwa kuzisaka
 
Hicho chuo umekianzisha wewe au? Acha stor za juma na uledi buddy! C lazima uanzishe thread ka huna hoja kalale!
 
Ndg wanajf, me nakubaliana na mleta mada. Tufahamu kuwa vyuoni kuna mabinti wenye misimamo thabiti ya kutokupenda kuchakachua bila kujua future ya anayetaka mzigo, so inatokea unamkuta mtoto ni SEALED ila ni wachache. Mbona nami mkewangu tena pale Udsm nilimkuta sealed kabisa bila kufoji.
 
wanyaturu kwa kutafuta vi cheap populality
Umnamaanisha wewe? Lakini inaonekana unawatusi hawa watu? Nakuomba uache kujumuisha watu wote kama hivi maana unawaboa watu na unaonesha kwa namna gani haujakomaa katika nyanja zote. A full control of what comes out of your mouth is important,tafadhali anza mazoezi ,utafanikiwa. Juhudi njema.
 
wacha mawazo mgando wewe! kitu gani cha ajabu hapo? usitafute umaarufu wa bure kijana, tafakari kwanza aagh!

Wangesema wao ingekuwa swadakta tena na ma-like kibao....lakini kwa sababu amesema mtu ambaye ni nje ya company yao wanataka kuifanya ishu.
Kuna udhalilishaji gani pale...tena nimetumia tafsida tupu.
Watu wa jukwaa hili wanatakiwa kubadilika kujifanya wame-hodhi jukwaa...... vyao vyooote vizuri, vya wenzao vyoooote vibaya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…