Wanaume wengi wana watoto ambao hawajui kama wapo

Boss Man

JF-Expert Member
Feb 10, 2022
458
991
Wanaume wenzangu mpo!? Kuna jambo limenitokea, from my experience nina uhakika Wanaume wengi wana watoto ambao hawajui kama wapo.

Iko hivi, miaka mitatu iliyopita nilikutana na Dada fulani, ndani ya muda mfupi tukajikuta tumezoeana sana, Kiumri huyu Dada kanipita miaka kama 3 ivi, katika Ile hali ya kuzoeana tukajikuta tumefanya Mapenzi kama mara 2 ivi, Yule Dada kiuchumi alikuwa vizuri sana mara 10 yangu, Binafsi kipesa sipo vibaya sana, ninaweza kuilisha wilaya ya Kinondoni siku nne mfululizo Milo yote mitatu na Habari yangu ndio itaishia hapo

Sasa bhana huyu Dada alikuja ku disappear tu ghafla na kwenye simu akawa hapatikani, na mm nikaendelea na mishe zangu kama kawaida, miaka 5 imepita Sasa Jana katika mishemishe zangu nimepita Ile mitaa aliyokuwa anakaa si nikamuona na Katoto ka kiume anatembea nako, nilishangaa sana huyu kwamba huyu Demu alijifungua na mtoto amekuwa hivi.

Nilivyomuita na alivyoniona alishtuka sana, Sasa Ile kumkaribia kumcheki yule Dogo naona kama Copy yangu kabisa, lakini siko sure na kama ni kweli kwanini hakuniambia? Basi tukaachana tukabadilishana mawasiliano pale nikiahidi kumtafuta

Nilivyofika mtaani kwangu kuna brother wa makamo huwa ni mshauri wangu nimemu hadithia scenario nzima Cha ajabu yeye bila kumuona mtoto akanihakikishia kwamba yule ni mwanangu

Acha ni mnukuu blaza "Kwa asilimia 701 huyo mtoto ni wako, Mimi nishawahi ku experience kitu kama hicho sema ni tofauti kidogo na case yako, Kuna kipindi nilikuwa nafanya kazi Masaki, mazingira niliyokuwa nafanyakazi yalinikutanisha na Binti mdogo tu alikuwa 27 Wakati huo na Mimi nilikuwa 32, alikuwa mwanasheria yule Dada yeye mwenyewe yupo vizuri na kwao wako vizuri pia, yule Dada alinilwzimisha sana nimpatie ujauzito halafu akifanikiwa kujifungua mambo yote kuhusu mtoto nimuachie yeye mm hata nisipo husika kwake haina shida"

Kwahiyo blaza unataka kuniambia watoto wamekua Dili kiasi hicho Hadi mtu kupata mimba na akose kukuambia?

"Wanawake wanaojimudu kimaisha kuolewa sio kipaumbele Chao kabisa, wao wanataka watoto tu ili kuondokana na upweke maana wengi wameshajijua kuishi na Mwanaume kwa muda mrefu ni ngumu so wanachojali zaidi ni watoto ili kupata faraja ya milele"

Wow

"Yeah, that’s how desperate women are for kids these day"
 
Daaah
 
Uzi huu una ukweli ndani yake.Hizi habari zipo kwa watu wengi sana.Nadhani kuna mambo kama vijana yawapasa wafanye kwa uangalifu au wayaepuke:-
-Usisukumwe na hisia au msisimko wa mwili kimapenzi bila kuwa na mipango au ndoa kufanya ngono zembe,
-Tumia kinga/kondom kila mara ukutanapo na mtu ambaye hamna ndoa.
-Tumia vilevi kwa umakini ili usishawishike kufanya ngono zembe.Ingawa hakuna bingwa wa kuihimili pombe/kilevi.
-Usifanye mambo kwa majaribio.Hakuna majaribio kwenye ngono.Tafakari kabla ya tendo.
NB:Ukiweza,jitulize hadi umpate mwenza wa ndoa.
 
Good advice!
 
Nilikuelewa kabla hata hujaulizwa, 27 kwangu ni kabint kadogo tu, Ina depend na umri wako, pengine uko 16 years so mwanamke wa 27 lazima umuone ni Mmama
Unaijua changamoto yako?Haujui kiswahili.Neno dogo tu.Tofautisha kati ya binti na mwanamama.Unatoa maelezo meengi utadhani tunashindana nywele za makwapani.
 
Back
Top Bottom