Wanawake ambao hamjaolewa msikate tamaa one day yes, mtaolewa tu

mimi ndimi.
mbele ya upeo ya macho yenu.

ebbana wakina dada ambao hamjaolewa najua mnakuaga na stress sana, ukiangalia umri unakimbia kama mwendokasi, yani jua ndio linazama, lakini msife moyo, atajitokeza tuu wa kukuoa one day, no matter how !, No matter what !

aseee ! ninayaongea haya nikiwa nina uthibisho mazeee !

leo bana katika pitapita zangu FB nimefumania picha za harusi ya EX wangu et nae kapata mume, duuuuh !!, alikua mfano wa mwanamke dunga embe, yani bonge la pasua kichwa mwenye tabia chafu kabisa, lakini nashangaa tayar kashapata boya wake nae kamkamata, na sasa ni mke wa mtu.

asee! ila jamaa aliemuoa yule manzi namuonea huruma sana, ni Kama amekumbatia bomu linahesabu tuu sekunde linasubiri mda ufike lilipuke maseee !

aseee ! hatawewe ambae hujaolewa usiwaze, haijalishi upo vipi au unatabia gani, uwe singo maza hata unawatoto watano, usijali ipo siku tuu na wewe utapata boya wako utamkamata atakuoa tuu.

NAKIPUMULIA KIPAZA !
Mtoa
 
Hivi hujui kama ndege wafananao ndiyo huruka pamoja...

Hiyo ina maana alikupata wewe mnaoendana, hakumfikia malengo... sasa kampata mwingine wanaoendeana...

Cc: mahondaw
 
mimi ndimi.
mbele ya upeo ya macho yenu.

ebbana wakina dada ambao hamjaolewa najua mnakuaga na stress sana, ukiangalia umri unakimbia kama mwendokasi, yani jua ndio linazama, lakini msife moyo, atajitokeza tuu wa kukuoa one day, no matter how !, No matter what !

aseee ! ninayaongea haya nikiwa nina uthibisho mazeee !

leo bana katika pitapita zangu FB nimefumania picha za harusi ya EX wangu et nae kapata mume, duuuuh !!, alikua mfano wa mwanamke dunga embe, yani bonge la pasua kichwa mwenye tabia chafu kabisa, lakini nashangaa tayar kashapata boya wake nae kamkamata, na sasa ni mke wa mtu.

asee! ila jamaa aliemuoa yule manzi namuonea huruma sana, ni Kama amekumbatia bomu linahesabu tuu sekunde linasubiri mda ufike lilipuke maseee !

aseee ! hatawewe ambae hujaolewa usiwaze, haijalishi upo vipi au unatabia gani, uwe singo maza hata unawatoto watano, usijali ipo siku tuu na wewe utapata boya wako utamkamata atakuoa tuu.

NAKIPUMULIA KIPAZA !
Yaani huu Uzi umeonesha ni jinsi gani moyo wako umekuuma kwa x wako kuolewa na inaonekana ww ndo ulikuw na matatizo kwa sababu ulishindwa kutumia uanaume wako kumfanya akawa vile unataka awe..Pole mkuu kunywa maji upunguze munkari
 
Mimi mawazo yangu yapo mrengo wa kushoto, wewe umewaza katika mrengo wa kulia, sio mbaya kuwaza tofauti
 
Afu mtoa mada haelewi mwenye yeye ndo angetakiwa kumbadilisha sasa anasubir mwenzie kachukua jiko anakuja kulialia
Watu kama nyie ni ngumu sana kuelewa mambo mapya, maana unajijibu mwenyewe kwamba unachokiamini ndicho hata kama sicho
 
Back
Top Bottom