Wanawake ambao hamjaolewa msikate tamaa one day yes, mtaolewa tu

Usiwadanganye wenzako mkuu. Wataolewaje wakati sababu zinazopelekea wasiolewe bado wanazo????
 
Mbona mama Diamond kaolewa? Wavute subira tu nao siku yao inakuja. One day YES.
 
Boya wako nae kakumbatia bomu linalohesabu sekunde lilipuke haki nakuambia. Ndege wa aina moja huruka pamoja.
 
Back
Top Bottom