Wanawake wana wivu, roho mbaya,husda kijicho,unafiki,majungu, umbea,fitina na kujipendekeza kinafiki kwa maboss au wakuu wa idara bila kusahau ushirikina na usaliti yaani hutakiwi kupanga jambo na kiumbe cha kike muda wowote itakula kwako, ndo maana napenda kuwagongelea misumali bila huruma..... Nashukuru kwa kuwafahamu wanawake wenzio ndio maana wachawi wengi ni wanawake.