Wanawake acheni uvivu chumbani

Mbishi 4 real

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2014
Posts
640
Reaction score
657
Kwa kawaida mnapokua kwenye ulimwengu wa kupeana raha za dunia na mwandani wako inapendeza zaidi pale mnapokua mnabadilisha mikao tofauti tofauti ili kunogesha mchezo.

Tatizo linakuja pale ambapo wanawake wengi wa siku hizi wamekua wavivu sana chumbani sababu wengi wanapenda tu ile staili ya kizamani ya kifo cha mende.

Mara nyingi unapotaka kubalisha staili tofauti tofauti mfano ile ya mbuzi kagoma kwenda malishoni utawaskia "bwana iyo mimi siiwezi". Yani wanapenda staili moja tu ile yakukaa kama wanazaa.

Na tabia hii wanayo sana wale wanawake mabonge nyanya au wale wenye miili mikubwa. Wanakuaga na mbwembwe nyingi kabla hujaingia nae chumbani ila ukishaingia nae chumbani dooh ni tabu tupu.

Acheni uvivu wakinadada, kama vipi muwe mnafanya mazoezi ili muwe flexible kunako yale mambo yetu.
 
Mkuu....
Haya mambo huwa yanawezekana yasikutokee ikiwa wewe mwenyewe utaamua kuchagua yule mwenye mwili mdogo (sio mnene) ili uweze pata furaha ya nafsi yako.....
Na kumbua kama wewe unaona mabonge ni wazito, basi wapo ambao wanaona wembamba sio watam kwasababu ya hawana minofu kama pillow.
Haya mambo ya makatiko kila mmoja anafurahishwa na kile ambacho kinaufurahisha moyo/nafsi yake.
 
Inasikitisha sana hasa ninapo waza kwamba..... Nina watoto wa kike, nina dada, nina shangazi na nina mama.... sasa sijui yupi kati ya hawa atakuja kusemwa kama hivi....[emoji29] [emoji29]
Hata mimi mdomo wangu umebaki wazi,nimepigwa na bumbuwazi
 
kapeace
Duh, kwan lazima hiyo ina mana hakuna nyingine ambayo mleta uzi atafurahi pia
 
Ukitaka kuinjoy game tafta madem
Wa pwan bhana wanawake wa huko
Co wa uswaz co wa get kali
Hakika viuno wameumbiwa kuvikata

Hongera kwao na kwa wadada
Wote wenye kujishuhulisha mchezon
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…