Wanawake acheni ulimbukeni mtatuwa bure

Wanawake acheni ulimbukeni mtatuwa bure

jjs2017

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2019
Posts
2,027
Reaction score
4,316
Mkiendelea na kusheherekea

Niwaambie hawa dada zangu waache kutuita majina ya mahaba msimu huu wa siku kuu maana hayatoki moyoni kabisa , sisi kama wanaume tunajua wazi kabisa mnatuigizia na mnataka hela tuu na sisi tumefocuss kwenye kubana matumizi, unakuta mwanamke wako anakuita gafla mara baby, love, hubby, sweetheart, my everything, honey majina ambayo hapo nyuma ulikua unayasikia kwa mbinde sana.

Mwingine huku umetongoza , umemsomesha miezi kadhaa haeleweki eti leo ndio anakupa jibu amekukubalia..

Tunajua mbinu zenu hakuna mahaba hapo hizo ni njia tuu za kututoa hela kimasihara na kutaka tuwapeleke viwanja vikali..
 
Pole sana ndugu
 
Kama umeamua kubana matumizi achana na mapenzi for a while mpaka uchumi utakapokuwa sawa...
MAPENZ NI PESA MKUU...
Mapenzi sio Pesa mkuu. Tafuta manzi ambae unamzidi kila kitu halafu utuletee mrejesho.

Mwanamke kama anakupenda hawezi kukuomba hela maana anaogopa kukupoteza. Wacha kudate malaya

Anyways, usiache kutafuta hela. ukizipata ndo utaamini nachokiandika apa.
 
Nimzidi kila kitu na PESA zikiwemo.. sivyo?
Build yourself as a man. Mwanaume unakubali vp kuzidiwa pesa na mwanamke? it's ok maana hata vidole havilingani ila huoni ni aibu na inatakiwa iwe motivation ya wewe kutafuta hela kama chizi.!!! Kuwa busy kutafuta hela unless ushajipata.

Make sure una hela to the extent ambayo ata mpenzi wako akikuomba unamnyima na anajua unazo ila hamna kitu anaweza fanya.

Ikitokea umempa basi ni just for love sio eti yeye kashinikiza mara akupigie simu kila muda na text kibao kukukumbushia na vitisho vya kukuacha, Mwanaume haachwi bali ananuniwa. Good thing ni kwamba ukiwa na hela huwezi ona hiana kumhudumia mpenzi wako tena ni fahari sana kwa mwanaume kama kweli unampenda.

Kama bado ni kijana una pambana kama mimi usitafute hela for the sake of love, utakufa masikini af huyo ulokua unampambania hatokuja ata kwenye mazishi yako[emoji28][emoji28]

Kama huna hela kabisa na hupendi kuombwa hela make sure you good in bed, utazichapa mpaka zikukinai.

Over.
 
Mwambie huyo jamaa.. anafikiria mapenzi ni pesa shauri yake
 
Mapenzi sio Pesa mkuu. Tafuta manzi ambae unamzidi kila kitu halafu utuletee mrejesho.

Mwanamke kama anakupenda hawezi kukuomba hela maana anaogopa kukupoteza. Wacha kudate malaya

Anyways, usiache kutafuta hela. ukizipata ndo utaamini nachokiandika apa.
Umenikosha,kanywe Pepsi kwa mangi naja kulipaa
 
Back
Top Bottom