Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 18,305
- 33,924
Hasa wachaga,Hii tabia ya wanawake ya kuzaa na mtu halafu kukataa kumpa mtu huyo mtoto wake, na badala yake kumchukua mtoto huyo na kumpa jina la ukoo wa mwanamke huyo ni ya hatari sana. Mtoto anapokuwa mkubwa anajikuta kwenye mtatiziko wa kisaikolojia kuelewa hasa kimetokea nini yeye kufanana jina la ukoo na wajomba na mama zake. Jee mama yake alizaa na ndugu yake?
Kama umezaa na mtu mwache mtoto kama anataka kufuata jina ama imani ya baba yake afuate na siyo kusema eti hana baba ama baba yake hafai kuitwa baba. Mtu kazaa na Muislamu lakini analazimisha mtoto wake awe mkristo ama mkristo awe muislamu.
Ninamna yakuonyesha kuwa uyomtu nihatari zaidi ya nyoka..sasa hivi tunabeba mimba kimya kimya rafiki yangu juzi kakataliwa clinic hadi aende na mwenye mimba. amemuomba tu jamaa mtaani wakaenda nae .mwenye mimba yupo wala hajui kama kuna mtu mwenye mimba yake wala hakuna mwenye habari nae.dunia hii vituko sana
Mwingine anakataa hiyo mimba utafanya nini utamlazimishaz?Hii tabia ya wanawake ya kuzaa na mtu halafu kukataa kumpa mtu huyo mtoto wake, na badala yake kumchukua mtoto huyo na kumpa jina la ukoo wa mwanamke huyo ni ya hatari sana. Mtoto anapokuwa mkubwa anajikuta kwenye mtatiziko wa kisaikolojia kuelewa hasa kimetokea nini yeye kufanana jina la ukoo na wajomba na mama zake. Jee mama yake alizaa na ndugu yake?
Kama umezaa na mtu mwache mtoto kama anataka kufuata jina ama imani ya baba yake afuate na siyo kusema eti hana baba ama baba yake hafai kuitwa baba. Mtu kazaa na Muislamu lakini analazimisha mtoto wake awe mkristo ama mkristo awe muislamu.
Hii tabia ya wanawake ya kuzaa na mtu halafu kukataa kumpa mtu huyo mtoto wake, na badala yake kumchukua mtoto huyo na kumpa jina la ukoo wa mwanamke huyo ni ya hatari sana. Mtoto anapokuwa mkubwa anajikuta kwenye mtatiziko wa kisaikolojia kuelewa hasa kimetokea nini yeye kufanana jina la ukoo na wajomba na mama zake. Jee mama yake alizaa na ndugu yake?
Kama umezaa na mtu mwache mtoto kama anataka kufuata jina ama imani ya baba yake afuate na siyo kusema eti hana baba ama baba yake hafai kuitwa baba. Mtu kazaa na Muislamu lakini analazimisha mtoto wake awe mkristo ama mkristo awe muislamu.
Tema mate chiniMy kid my blood...hamna mwanamke anayeweza kumbadili jina mtt wangu
Nakuona mkuu kama kawa kwenye ubora wako..Sawa lakini wajue BABA NI BABA TU
Watu washanyang'anywa watoto baada ya ndoa kuvunjwa na mwanamke. Mta kaishi na mkewa ndoa inavunjika anaambiwa watoto anaondoka nao mwanamke. Hata hivyo si haki kumteka mtoto wa mtu kwa kisingizio cha kwamba mlikuwa mnazini.Mkiacha uzinzi hayo yote hayatakuwepo
Kuna sababu nyingi zinazopelekea hayo!!!mojawapo ni kukataliwa kwa mwanamke akiwa mjamzito,Hii tabia ya wanawake ya kuzaa na mtu halafu kukataa kumpa mtu huyo mtoto wake, na badala yake kumchukua mtoto huyo na kumpa jina la ukoo wa mwanamke huyo ni ya hatari sana. Mtoto anapokuwa mkubwa anajikuta kwenye mtatiziko wa kisaikolojia kuelewa hasa kimetokea nini yeye kufanana jina la ukoo na wajomba na mama zake. Jee mama yake alizaa na ndugu yake?
Kama umezaa na mtu mwache mtoto kama anataka kufuata jina ama imani ya baba yake afuate na siyo kusema eti hana baba ama baba yake hafai kuitwa baba. Mtu kazaa na Muislamu lakini analazimisha mtoto wake awe mkristo ama mkristo awe muislamu.
Hahaha kawaida mkuuNakuona mkuu kama kawa kwenye ubora wako..