Wanawake acheni tabia hii, ina gharama kubwa sana!

Hasa wachaga,
hapo kwa wachaga ni kweli tunafanya hivyo endapo baba wa mtoto alikataa mtoto .. hatutupi mtoto sisi mkuu ukifanya mistake ya kukataa mimba na baadae ukaitwa ukakataa kuja au ukasema mtoto siyo wako ndugu yanu mtoto atapata baba tu ... sisi mtoto ni muhimu
 
mkuu mleta mada hakuna mtu anayempa mtoto familia yake bila sababu .. wanaume wengi hukataa mimba hasa mnapo zini na wanawake msiokuwa na malengo naye na kuanza kumwambia umenibambikiziia au umenitegeshea mimba, utafikiria niliiba kidudu chako nikaenda jikamuli hizo mbegu zako.. nakuanza kunipa maneno ya kashfa ooh malaya , kwnza mtoto si wangu.. mimba hulei ha haha baba yangu alee mimba yangu anipeleke usiku napata uchungu halafu uje na p.umbu zako zinazonuka baadae mtotoni wako lipa fine kwanza tukupe mtoto aiseee...............wanaume mna maneno ya kuudhi sana
 
ndisi-jujo wengine hawakatai bali mtu anauliza swali la msingi tu, "una hakika mimba ni ya kwangu" wewe unakurupuka kudai kama hataki kutunza utatunza mwenyewe. Tatizo kwanza kabla ya mimba kutunga mtu anajua ana washirika wenzie kama watatu na akicheza mama anaweza kuwa na kadi hata tatu za kliniki. Utampaje mtoto wa watu jina la ukoo wenu. kwanza huoni kama unajidhalilisha?
je ulimtia? kama ndiyo ulimtia umevaa condom? kama hapana hilo swali linatoka wapi?
 
sasa hivi tunabeba mimba kimya kimya rafiki yangu juzi kakataliwa clinic hadi aende na mwenye mimba. amemuomba tu jamaa mtaani wakaenda nae .mwenye mimba yupo wala hajui kama kuna mtu mwenye mimba yake wala hakuna mwenye habari nae.dunia hii vituko sana
hivi nikwanin sasa miss??
 
Tatizo wanaume wengine wanakimbia majukumu yao wakati mtu akiwa na mimba hamjali kabisa I have a friend of mine ana mtoto alipewa mimba wakati tupo chuo huwezi amini huyo kaka hamjali kabisa mtoto wake.........mpaka leo rafiki yangu hajawahi kuomba hata mia ya mtoto......unategemea hapo atampa jina huyo mtoto la baba ake........nawapa hongera sana wasichana kama hao
ukwl utabaki km ulivo huwezi badili njano kuwa kijani.ipo siku mtt atakuja aulizie baba yake yuko wapi
 
Na nyie muache kukataa mimba za hawa dada zetu.

Hii tabia ya wanawake ya kuzaa na mtu halafu kukataa kumpa mtu huyo mtoto wake, na badala yake kumchukua mtoto huyo na kumpa jina la ukoo wa mwanamke huyo ni ya hatari sana. Mtoto anapokuwa mkubwa anajikuta kwenye mtatiziko wa kisaikolojia kuelewa hasa kimetokea nini yeye kufanana jina la ukoo na wajomba na mama zake. Jee mama yake alizaa na ndugu yake?

Kama umezaa na mtu mwache mtoto kama anataka kufuata jina ama imani ya baba yake afuate na siyo kusema eti hana baba ama baba yake hafai kuitwa baba. Mtu kazaa na Muislamu lakini analazimisha mtoto wake awe mkristo ama mkristo awe muislamu.
 
ni kweli upande mwingine ..mie nilizaliwa nikatelekezwa na bab akaoa mke mwingine lakini mwaka juzi nikakutana na ndugu zangu pamoja na baba na hii ni sababu niliandikishwa jina la baba na ukoo wake tangu nipo mdogo

NB; si kila anayefanya hivo anapenda nanyi wanaume muache kukataa mimba na kutelekeza watoto kuepusha hayo matatizo
 
Mfano,umenitelekeza na mimba yangu mpaka nimejifungua nimehangaika kulea mwenyewe...kirahisi tu naanzaje kumuacha atumie jina lako la ukoo?yaani nambadilisha jina kila mahali na cheti cha kuzaliwa pia hutaona jina lako na tangu Mdogo nakua namwambia baba ako alikua ni jambazi sugu muuaji na alifariki kwny ajali ya nungwi mwanangu mpaka akikua nakuhakikiahia hatatamani kujua hata mahali kaburi lako lilipo
 
Hii tabia ya wanawake ya kuzaa na mtu halafu kukataa kumpa mtu huyo mtoto wake, na badala yake kumchukua mtoto huyo na kumpa jina la ukoo wa mwanamke huyo ni ya hatari sana. Mtoto anapokuwa mkubwa anajikuta kwenye mtatiziko wa kisaikolojia kuelewa hasa kimetokea nini yeye kufanana jina la ukoo na wajomba na mama zake. Jee mama yake alizaa na ndugu yake?

Kama umezaa na mtu mwache mtoto kama anataka kufuata jina ama imani ya baba yake afuate na siyo kusema eti hana baba ama baba yake hafai kuitwa baba. Mtu kazaa na Muislamu lakini analazimisha mtoto wake awe mkristo ama mkristo awe muislamu.
Kwel kabissssaaaa
 
kajitasimin hata muumba wa mbingu alishampa mamlaka mwanaume.hata yy hakuitwa jina la ukoo wa mama
 
Back
Top Bottom