Wanawake acheni mitego hii.

pet geo pet

JF-Expert Member
Joined
Jun 30, 2018
Posts
518
Reaction score
815
Unampigia simu mwanamke wakati mkiwa mnaongea anakuuliza swali,MKEO MZIMA??mara msalimie mpenzi wako??huku anafahamu kuwa bado haujaoa,mitego mingeni sio kabisa.

Mwingine anakukaribisha kwake alipo panga wakati anajua kabisa kuwa unaemkuaribisha ni kijana hafu yeye mwenyewe hajaolewa.

Mwingine ni urafiki tu anasema oooh!nmekumisi sana best yangu njoo basi nikuone?

Mwingine Mara nilikuona unafua nguo na unaosha vyombo hipo siku nitakuja nikusaidie wakati huo anajua fika hauna mke.

Mwingine anasema Mara natamani kuolewa wakati anajua kabisa anaeongea nae hana mke .

Wanawake acheni mitego, kama unampenda mwanamme wewe funguka wala hautooneka Malaya kwa wanaume wanaojielewa.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hivi ule mpaka wa udada na ukaka tuliuvuka lini?
Niliona tuunganishe nchi tu...vinchi vyenyewe vidogo vidogo hivi mipaka ya nini?

Hivyo nilete posa haya mafurushi ya humu yapotezee tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…