Nelson Kileo
JF-Expert Member
- Oct 29, 2011
- 3,054
- 3,265
Leo tuwaseme tu usiku huu ili muamke na akili nyingine mpaya, haka kaEmoj
ni kamaarufu sana kwenye conversation,ila nyie mabinti tuwaambie tu it either mnaktumiaga kwa joke or serious ila kiuhalisia hajakaaa poa ..
Ni kati ya emoj nnayotamani itoweke kabisaa kwnye ulimwengu wa Chart
.
Kwa binafsi yako emoj ipi hauikubariki ?
ni kamaarufu sana kwenye conversation,ila nyie mabinti tuwaambie tu it either mnaktumiaga kwa joke or serious ila kiuhalisia hajakaaa poa ..Ni kati ya emoj nnayotamani itoweke kabisaa kwnye ulimwengu wa Chart
.Kwa binafsi yako emoj ipi hauikubariki ?
baada ya kumfanikishia jambo fulani... mbaya zaidi upo singo, ukipiga saundi anakwambia nakuchukulia kama kaka yangu

