Espy_
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 91,949
- 183,431
Sana, ashukuriwe melo kwa kuruhusu id fake zinawafanya wapunguze sumu nyingi sana.
Sema wenzetu wa mtandao huu wana stress sana
Sema wenzetu wa mtandao huu wana stress sana
Sana, ashukuriwe melo kwa kuruhusu id fake zinawafanya wapunguze sumu nyingi sana.
Mamie, hivi ule uzi wetu wa vidole umefutwa?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mamie, hivi ule uzi wetu wa vidole umefutwa?
Kukojoza kwa vidole wiiiUpii wifi l??
Mara zote nasema wanawake wanapitia kipindi kigumu kwa sasa.
Sasa kuna sehemu anasema ukifika miaka 50 unakuwa na mikunjo usoni na kupata kipara. Sijawahi kuona kipara cha kike.
[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] Watu mko wapi?Wavue wigi ujionee...wengine wanamzidi hata Mkapa
We acha tu, wanawake nishida sana katika maisha yetu yakila siku ndowanao tuongezea hizi stress .....wengine wako hovyo sana hana mbele wala nyuma lakini maringo sasa....wengine ni flat screen, miguu tube light ka someshwa na m chumba gari ni vitz( baby seater) na niya mkopo wa mshahara, kichwani hana nywele mawigi tu.....sasa anapo ringa kwa wenzake unaweza ukafikiri hata zeeka au kufa....plz punguzeni mnafanya wengine wakose rahaNi kwamba ametafuta mada ya kuwaponda wanawake amekosa, kaamua kucopy na kupaste hiyo ambayo ni general kwa jinsia zote
Kukojoza kwa vidole wiii
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]We utakuwa ni member wa chaputa
Awaoneshe umbo lake na miguuStress mbaya sana haya tumekuachia uwanja ringa wewe
Umeshaiona like yangu? Yaani mimi nikiringiwa na mwanamke, huniweka attention akili yangu vibaya na kuanza kufuatilia kinachosababisha aniringie!Na hatuwezi kuacha kwa uzi wako.
Ukiringiwa jiongeze
Ataringa yeye muanzisha mada.Asipo ringa mwanamke ataringa nani?
Achana na anayeringa mfuate wa type yako, ya nini kujipa stress? Kuna types kibao za wanawake hujaona tu wa kufanana na wewe? Anayeringa mwache aringe..hata wanaume wapo wanaoringa kila mtu apambane na wa type anayoipenda.We acha tu, wanawake nishida sana katika maisha yetu yakila siku ndowanao tuongezea hizi stress .....wengine wako hovyo sana hana mbele wala nyuma lakini maringo sasa....wengine ni flat screen, miguu tube light ka someshwa na m chumba gari ni vitz( baby seater) na niya mkopo wa mshahara, kichwani hana nywele mawigi tu.....sasa anapo ringa kwa wenzake unaweza ukafikiri hata zeeka au kufa....plz punguzeni mnafanya wengine wakose raha
Achana na anayeringa mfuate wa type yako, ya nini kujipa stress? Kuna types kibao za wanawake hujaona tu wa kufanana na wewe? Anayeringa mwache aringe..hata wanaume wapo wanaoringa kila mtu apambane na wa type anayoipenda.
[emoji2][emoji2] napenda mwanaume mkorofiii, anayeringaYou sound like my type
[emoji2][emoji2] napenda mwanaume mkorofiii, anayeringa
Haya sasa majungu, vikauli vya kulaani laani hivi mara zote hutolewa na watu waliokata tamaa.