Aiseehhh mimi huwa nakerwa zaidi nahisi, yani mimi na mama watoto wangu ndo ugomvi kila kukicha,namkataza lakin wapi,unakuta wigi la rangi sijuwi kijani, sijuwi pink yani hakuna relation na uhalisia wa nywele za binadamu, siyapendi mawigi na sipendi kumuona alady amevaa
Mda mwingine zinanyofoka, zinaua stimu kabisa,
Wewe nani uwape amri kutovaa wigi? Labda uongee na rais atangaze NO Wigs, nje ya hapo unajipa presha bure kwa mambo yasiyokuhusu. Ila kwa habari ya mkeo muombe asiweke hizo nywele
Hahaha tumehamia huku, basi sawa. atoto ukuje hapa.
Teh teh..Yani sometimes unakuta msichana anageuka kuangalia upande mwingine ila wig limebaki straight tu..halijafwata direction ya kichwa...
Heheheeee! Yote haya kayataka mumeo Paulo Sergio De Souz maana aliligusia hilo bwana sonko nae kapata mada, haya ngoja tuangalie upepo wa huku tena, waje wamalizie zile stress zao za kuleee!
Hii sio amri ni ushauri ukizingatia kuwa hazikuongezei mvuto wowote
Ungebaki na nywele zako ungevutia zaidi, hujui tu