marandu2010
JF-Expert Member
- Aug 7, 2010
- 1,201
- 446
- Thread starter
-
- #141
Wanawake ndiyo chanzo..hawataki kutoa for free..Wanunuzi wagome kuuza wafanye shughuli zingine.
Kabadili kichwa cha thread yako.uandike
Wanaume na wanawake acheni kuuza na kununua........
Hili ndo ulilotakiwa kuandika kwenye post yakoYah..wanaume pia waache kununua..wauzaji wagome kuuza..wafanye shughuri nyingine
Atembelee mbuga za wanyama.Kama huujui uhusiano wa hivo vitu ndugu yangu anzisha utalii
Unaweza letewa piaKwani wewe ukitaka suruali unafata dukani au unaiita inakuja?
Kivipi..nyinyi ndio hamjielewi..kuuza papuchi..biashara nyingine hamzioni au??
Unataka free uli ilipia mahari mkuu.Wanawake ndiyo chanzo..hawataki kutoa for free..
Papuchi haitakiwi kuuzwa??Kama huwezi kununua si unaacha hiyo biashara. Sio kila bidhaa ununue zingine unapiga moyo konde unatafuta unayomudu. Badala ya kununua papuchi unaweza nunua hata maji au sabuni nazo bidhaa pia.
Habari ya tlawi!huna hela wewe.......acha kelele.......
wanaigaramia matunzo sasa watakupaje bure ?Tunaacha acheni kuuza sasa...mmepewa bure toeni bure
Unamaanisha wanawake wote hata yule aliyekuleta duniani?Za kuku hao... Hawawezi kukuelewa...
[HASHTAG]#Chief[/HASHTAG] Eng
kumbuka hawa wanaouza ni machangu na kama si change basi ni mwanamke anaejidai mstaarabu ila anakajidamu ka uhuni, mchumba au girlfriend wako sidhani kama anakuchaji, wanaochaji ni wale wenye wanaume Zaidi ya mmoja, hiyo kwake ni kama biashara, na lazima alipwe mana aidha ndo biashara inayomuweka mjini, na pia ni kwa ajili ya MAINTENANCE Mana maumbile ya mwanamke huchakaa kwa matumizi tofauti na ya mwanaume.Kwani wewe utamu haupati???
Swali la uchokozi: Cjui ile inayoingia kwenye papuchi nayo ni tamu na inaburudisha? .......Ila Binadamu ni watu wabaya sana, Sasa dunia ya leo kuna kitu ambacho ni kitamu au chakuburudisha ukakipata bure?? 🙂
Sasa ni mwendo wa kupeana bure [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji112] [emoji112] [emoji112]Mkiacha kununua na sie hatutauza
nitoe bure unajua gharama za kuhudumia?