Wanawake acheni kuuza

Gillette yenyewe kwa mangi haitolewi bure, upewe bure kwa kipi?
Wewe ni shida yaani unatetea uuzwaji wa papuchi kumbuka kila jambo na wakati wake na unatakiwa kutumia muda wako kwa mambo yanayokubalika kwenye jamii.
 
Wewe ni shida yaani unatetea uuzwaji wa papuchi kumbuka kila jambo na wakati wake na unatakiwa kutumia muda wako kwa mambo yanayokubalika kwenye jamii.
Nisipowatetea wataacha?
Mambo yanayokubalika kwenye jamii ndo yapi hayo..... Siyajui
 
Wewe ni shida yaani unatetea uuzwaji wa papuchi kumbuka kila jambo na wakati wake na unatakiwa kutumia muda wako kwa mambo yanayokubalika kwenye jamii.
Mwambie huyo...wamesema tuwawezeshe...tumewawezesha na wao tupo nao kwenye kazi..eti bado wanatuuzia papuchi...sasa mapenzi yako wapi hapo.
 
Hii inshu ya wanawake kuuza papuchi ,inasababishwa na sisi wanaume,kuna midume inapenda mno kupita kiasi na hii ndo inaongoza kwa kuwaendekeza wanawake wapende pesa,mingine ni midomo zege hii pia inasababisha hii hali iwepo
Umewaza nje ya box hongera mwayego
 
Mkuu embu funguka kwa mapana basi.....basi tushauriane....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…