Hajawahi kwenda lile eneo jipya wameamua kulitunga maximum security utajua wanunuzi wa ngono wapo, aisee pale tena watu wanakaa foleni kama vile kumuona Doctor. Na siku hizi wameamua kuweka mabenchi nje kabisaa kwa wateja wao.Sudan haioni ndani kabisaa, sema bei zao kidogo zipo juu.kinachouzi hawataki ucheze full time. Serikali wakiligundua eneo lile wengi wataathirika
Wewe ndio unaona hvyo.. Ila kwa wengine ni kiungo cha biashara tu, tena biashara safi isiyo na maloloso mengi mengi.. 97% tunanunua papuchi aidha direct ama indirect..