The Boss
JF-Expert Member
- Aug 18, 2009
- 49,320
- 117,675
I think you can still be cordial and civil with each other without being friends.
cordial and civil is equal to friendship .....
I think you can still be cordial and civil with each other without being friends.
heloo dumpee .....
cordial and civil is equal to friendship .....
hapana msijiangalie ninyi tu, kumbuka uzi wa aminas leo mchana mlivoushadadia ati mwanamke hakutaki unamng'ang'ania wa nni, ama kweli mkuki kwa nguruwe
​akhsante kwa hilo na uwe na usiku mwemaNakumbuka ila sasa kila mtu ajiweke mwenyewe
Una roho mbaya yani kajipanga kukutongoza unaleta mapozi
Ukiona mwanamke anajilengesha kwa mwanaume inawezekana anaukimwi mwanamke mwenye maadili lazima awe na nidham ya uoga mm huwa nawafukuza mpaka wananiita mafia
Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
miss chagga kweli nyani haoni kundule......wewe hapa kuna mtu mpaka ana ID ya jina lako.....na sijui mmefikia wapi na huyo mtu......afu unamwona huyu ana roho mbaya......
mbona kama umejipanga loh basi yaishe
hahaaaaaa.....leo twende mori aisee.....
nakuja leo
poa ngoja niongee na mdau.....nitakupitia basi hapo kwenu.....
miss chagga kweli nyani haoni kundule......wewe hapa kuna mtu mpaka ana ID ya jina lako.....na sijui mmefikia wapi na huyo mtu......afu unamwona huyu ana roho mbaya......