Nipo mama, umepotea kweli.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] shoga upogo?
Jamani naomba niwe mke mwenza.Ukiona hivyo shida iko kwa mwanaume, ukijua kudeal na wanawake wala atakuwa vile unavyotaka. Mi baada ya kujifungua kweli niliweka mapenzi kwa watoto lakini baada ya kuona Mme kaongeza mapenzi kwangu nikaanza kujifikiria mara mbili. Na nilinenepa kwa kweli alichofanya ni kuwahi arudi home, kaninunulia tracksuit na raba, na tracksuit yake sare share wenyewe jioni ananishika mkono tunafanya jogging, baadae akaanza kuniambia nimsindikize gym basi nikaanza kujiangalia hmm inabidi nipungue but hakuwahi niambia nimenenepa ila hivyo vitendo vyake nilijua tu natakiwa kupungua basi ikabidi na Mimi nikazane na mazoezi na diet mpk nazeeka sasa na weight yangu ya kisichana. Kuhusu watoto alinisaidia sana hata kwa kubadilisha nepi au kunipa muda nipumzike abaki na mtoto au nioge abaki anacheza nao. So Mara nyingi kulea mtoto si kazi rahisi mama anaweza jisahau but akiipata support ya Mme utaona mama anabadilika.
Shikamoo kaka shemeji.Mkeo unamfananisha na bata??
Kwanini walifuta elimu ya jando?? Aghhhhhhr
Usigune bwana, nanyi muwe mnawasaidia wake zenu, kuwa mama sio mchezo, unatumika kweli kweli. Alafu mwisho mtu anakuja kukuita bata, nawe ulooa bata unakuwa kitu gani!!Duuh
Inabidi tuanzishe jando mfogo wangu tuwafunde hawa wanaume maana hamna namna.Hahaaaa. Eti kama bata. Ukiona hivyo jua na wewe ni mchafu kwa sababu kama ungekuwa unapenda usafi ungeshamwambia abadilike na sio kuja kulalama huku.
Mwambie tu mkuu hakuna gharama yeyote na huenda ikawa hajui kama ni mchafu ye anajionea sawa.
Kuna namna nyingi za kuongea na mtu, akikuta uchafu afanye usafi yeye then msg inakuwa sent.Maybe anaogopa akimwambia atajiskia vibaya.
Ndio nimeguswa kwa mwanamke mwenzangu kuitwa bata, si amsaidie au amtafutie msaidizi ili ampunguzie mwenzie mzigo wa kazi!!Mkuu,kwa povu hili ni dhahiri umeguswa
Hahaaa. Kweli kabisa my dada huenda ikasaidia.Inabidi tuanzishe jando mfogo wangu tuwafunde hawa wanaume maana hamna namna.
Hivi mtu mwanzo alikuwa msafi ghafla kawa mchafu, it seems kaelemewa. Basi hata amtafutie msaada au amsaidie, yeye yuko busy kuhesabu mabaya ya mwenzie!!
Huwa wanasema waume wazuri wako kwa wake zao.Hahahah tafuta wazuri mbona wapo tu.
Ooooh kumbe nae anatusaidia isipokuwa hilo la upampula tu!! Basi nitamvumilia.ahhahaha acha tamaa espy wewe jaman khaa !bas huyu dada na mume wangu pia yuko hvyo !mie nikijifungua huwa ananisaidia sana sana tu !yaan mume wangu huez amni anajua kufunga nepi hizi kisasa sio kizaman unalikunja tu linepi !anabadilisha pampers na anaogesha (ingawa muda huo anakuwa bwax teh ) baki bwana wee !huyu kimoja tu hutamwelewa !
WIVU WA KITOTO
Yeah atleast that's good one,akija akiona atajifunza na kubadilikaKuna namna nyingi za kuongea na mtu, akikuta uchafu afanye usafi yeye then msg inakuwa sent.
Huwa wanasema waume wazuri wako kwa wake zao.
Basi baki nae.Ndio hapo unaweza mchukua wewe na akawa mbaya kwako, jua tu kila MTU yuko na ubavu challenge ni kupata the right ubavu.
Ooooh kumbe nae anatusaidia isipokuwa hilo la upampula tu!! Basi nitamvumilia.
Hahaha asante.Shikamoo kaka shemeji.
Bado natafakari mtu anaweza kumuita mama watoto bata. DahhhUsigune bwana, nanyi muwe mnawasaidia wake zenu, kuwa mama sio mchezo, unatumika kweli kweli. Alafu mwisho mtu anakuja kukuita bata, nawe ulooa bata unakuwa kitu gani!!
Nimebanwa mno!Nipo mama, umepotea kweli.
Hahaaaa dah umenichekesha sana! Sasa si umwambie kuwa hupendi uchafu?Hii tabia ya wanawake ukishamuoa na mkapata watoto basi wanajisahau na kuanza kuwa wachafu kama bata hii tabia haivumiliki!nukta.